New Songs:Wakuu mnasemaje hapa?

Halafu kila siku kuna watu wanakuja kutuambia kwamba Tanzania hatuna wataalam. Wataalam wapo sana, tatizo ni kwamba wana siasa wetu ndo wamegeuka kuwa watalaam na wao ndiyo wenye maamuzi ya mwisho. Matokeo yake maamuzi hayo ya mwisho wamekuwa wakiyatumia vibaya kwa kuwa wanajua kwamba hakuna chochote ambacho kitafanyika.

Ukifunua ma-file huko kwenye hizi ofisi za serikali unaweza kukuta madudu mengi sana na kuanza kujiuliza kwanini huyu mtu mpaka leo bado yuko huru wakati alisababisha madudu na hasara kubwa sana?

Inabidi usiwe na moyo wa EPA na usiwe unaangalia masilahi ya Taifa kama Zitto! Vinginevyo unapata BP
 
Duu sio mchezo mkuu kitu bado mbichi kabisa hiyo nadhani imetoka juzi tu hapa leo imemwaga JF kama kawaida mkuu asante sana!!
 
Ole wao wasitoe mikopo kwa UDSM,lazima pachimbike,haya madudu yote?Na bado tunataka bail out kutoka IMF?Kweli!!!!!!!!!!
 
Mkuu Invisible,

Hii Kagoda nafikiri sasa ni unyang'anyi, ni ujambazi wa mchana.

Pamoja na paper trails nyingi kiasi hicho bado eti wahusika hawajafikishwa mahakamani.

Nafikiri kinachoendelea sasa ni uhuni wa serikali kutudanganya sisi wananchi.

Hata ukinipa mimi nichunguze hii Kagoda, nitafika mlangoni kwa mwenye nayo, iweje vyombo vyote vya dola vinashindwa kuwafikia hawa jamaa?
 
Aha, aha,

PRINCIPAL SATATE ATTORNEY.

Hatuna hata proofreaders?

Yaani kama mshtakiwa anampata wakili mlalamishi kama marehemu Johnnie Cochran kesi inakataliwa kwa sababu document haikusainiwa vilivyo.
 
Mkuu Inv. Nimekukubali! Yaani maushaidi ya kumwaga bado serikali inajiuma kwenye ishu ya kagoda?!

PRINCIPAL SATATE ATTORNEY.
Wakuu hii ingawa ni typological error, ving'ang'anizi wanaweza ikataa hiyo wakidai hakuna cheo cha principal satate attorney!!
 
Mkuu Invisible hii ni nyundo na nimeshaona kuna kila dalili za Mahakama kuishiwa nguvu za kiume na wasipoangalia huku tunakokwenda hakuna utulivu hata chembe mpk kieleweke. Wananchi sasa hivi sio wajinga tena. Kama kawa JF iendelee kuchonga barabara.
 
Na hii imekaaje Mkuu?

"...Tanzania suffered a loss of shillings 11,572,148.00"

Sio 11,572,148.00 shillings ?!?


Isije ikawa ni namna ya kucreate vidirisha vya kuchoropokea hawa mafisadi technically! Impossible? . ......... Hii ni bongo bana!
 
Mkuu Invisible hii ni nyundo na nimeshaona kuna kila dalili za Mahakama kuishiwa nguvu za kiume na wasipoangalia huku tunakokwenda hakuna utulivu hata chembe mpk kieleweke. Wananchi sasa hivi sio wajinga tena. Kama kawa JF iendelee kuchonga barabara.

Waliacha lini Ujinga, Count on me Kunta, 2010, Chenge, Lowasa, Msabaha, RA, Mramba na wengine watarudi Bungeni kwa Kishindo!

Kaka Kunta we still have a very long safari na Watanzania huwezi kuwawekea dhamana ikiwa wanatumhumiawa kwa kosa la Ujinga.

Asante
 
Madudu ya wafuasi wa Sultani CCM ni mengi sana , tatizo kwenye sheria wapo wao ,kwenye mahakama wapo wao kona zote wameweka vimelea ,yaani hata katiba inawalinda wao.

Kazi iliyoko mbele ni kuwaondoa kwa nguvu tu wakitaka wasitake.
 
Na hii imekaaje Mkuu?

"...Tanzania suffered a loss of shillings 11,572,148.00"

Sio 11,572,148.00 shillings ?!?

Iangalie vizuri mkuu, imekaa hivi; "... Tanzania suffered a loss of shillings 11,752,350,148.00"

Mbarikiwe wote mnaingia uchaka bila kuchoka, naamini iko siku kitaeleweka tu.
 
Waliacha lini Ujinga, Count on me Kunta, 2010, Chenge, Lowasa, Msabaha, RA, Mramba na wengine watarudi Bungeni kwa Kishindo!

Kaka Kunta we still have a very long safari na Watanzania huwezi kuwawekea dhamana ikiwa wanatumhumiawa kwa kosa la Ujinga.

Asante

Nakubaliana nawe kabisa katika hili la watanzania (kama jamii) kuwa bado katika lindi la ujinga na usingizi mzito.

We (Tzs) are sleeping.
 
Haya mafile yanapokuwa wazi namna hii na DPP anajifanya haoni, ujue siri nzito iko mioyoni mwa watawala, Lakini tukazane na kupambana kwa kuweka wazi yaliyokuwa gizani na kwa sababu nuru na giza havipatani, watashindwa tena kutuzuga! Natumai tutashinda vita tukiungana kwa umoja wetu
 
Kuhusu Mabenki!
Haiwezekani na haiingii akilini kuwa CRDB boss hawakujua mipango ya Kagoda na kuruhusu hela nyingi hivyo kupitia kwao: Wakifuatiliwa vema, utagundua kuwa utajiri wa Kimei, na wliohusika hapo CRDB, unatokana na percent za migawo ya Kagoda
 
Heshima mbele mkuu usiyeonekana......! thanks a million times man!

Hivi hawa kina Mramba, Yona, Mgonja hicho kiburi cha kutosikia hata ushauri wa macollegues wao kilitoka wapi?---who else is benind all these? Kuna watendaji wazuri tu kama Mh. Abdisalaam, Nyero, Mrindiko walitoa angalizo juu ya hawa Stewart na mwingine(Nyero) akasema kabisa hawa si washirika wazuri kupewa hiyo tender...lakini wapi! Na mbali na hiyo TRA ambao wamepewa jukumu la kuhakikisha mapato ya serikali yanakusanywa ipasavyo na kusimamia sheria na taritibu za kodi, waka muonya waziri na bwana Mgonja....wapi wao wakatupilia mbali ushauri huo na kufanya walilo ona ni bora kwa maslahi yao binafsi!

On Kagoda......................................

The problem that I see that has been happening in Tanzania and elsewhere in Afrika is that the few rich and political elite, though surrounded by rampant poverty, are able to take such measures simply because there is no mechanism and/or no one to tell them that you cannot do that! Wamewadharau hao washauri wao blatantly, and the sad thing is that those poor souls can't do shit about it!!

These decisions are made to line up the political and usually already rich elite pockets with disregard to the people they are to serve, the good old wananchi. If you go back and look at all the scandals and funds misappropriation here in Tanzania you are bound to find a rich, political elite figure! Hawa ndio walikubali mikataba mibovu while lining up their own pockets at the expense of the poor mTanzania. They are the ones who are arrogant, untouchable and very corrupt! Worse, they are the ones who select themselves to police themselves! How? Namna gani hii????!!!!

Being a normal struggling Tanzanian trying to make a decent legal living people like these piss me off!! Hawa ndio walewale Mpoto anatafuta nauli aje mjini kuwauliza "kulikoni?" They have lost their heads and are leading the umati astray. The f*&%#d thing is that these are the western educated folks that we thought are a learned bunch amongst us and they will come and lead us out of this vicious poverty cycle - I guess they had some other ideas...............their pockets!! Mi mwenzenu wananiuzi nyie, we acha tu!!!!!

Tutafika kweli???
 
Back
Top Bottom