New Release: DHAIFU T-Shirts and Other Product Lines!

attachment.php

The young man said the truth because he believed it to be truth.
 
Du!!! hapa CCM ndio watajua CDM ni Chama la Vijana mpo sharp sana

Aisee na Sumbawanga nipataje hizo tshirt? Unajua siye huku tunapiga jalamba kwa ajili ya kuingia kwenye uchaguzi wa marudio ya mbunge wa ukweli,yule ***** aliyepigwa chini mahakamani rufaa yake magumashi, tuna mpango wa kuifundisha ccm adabu kwenye uchaguzi wa marudio sipati picha!!!!!!!!!!!!
 
Sitaki kuamini kama JF inafika huku tunapotaka kuipeleka. Na ninastaajabu kwa post kama hii kusurvive.

HATA MIMI NASHANGAA SANA. KWA MTINDO HUU NASEMA WAZI jf IHESHIMUNI
SERIKALI NA MUIONDOE THREAD HII.

Kumwita rais dhaifu ni kutudhalilisha sisi tunao ongozwa naye. Sioni kwa nini Mnyika asichukuliwe
hatua kali. Kwani rais ni wa waTZ kama yeye anaona hafai asubiri wakati wa kampeni.
Sisi tunamwona anafaa. JF plze this thread is a disguise to US ALL. Remove it. We love U
 
Kuondoa thread hakuondoi ukweli. DHAIFU ni DHAIFU tu na PUUZI ni PUUZI tu.

Anayekudhalilisha ni aliyekujambia sio aliyesema kuwa umejambiwa, tumia akili mkuu.
 
Kuweni wabunifu zaidi andika DHAIFUST.

Watie moyo wawe wabunifu wa mashine za kusindika (manufacturing & processing) mazao yetu
yanayoozea mikononi mwa wakulima ili tupate vitu kama corn syrup, pipi, keki, pringles,n.k, vyote vya
bei nafuu na vijana wetu waajiriwe ktk viwanda hivyo.
 
Back
Top Bottom