New Poll

dorin

JF-Expert Member
Jan 29, 2010
267
285
Hivi kama katiba ingekuwa inaruhusu JK kugombea misimu mitatu, Angesimama 2015 angechaguliwa?

Just say no or Yes. Halafu FF naomba usiseme Yes ya kinafiki.
 
haya ndo maswali ya kioima joto ya ITV.

Hivi ukioa mkeo, umamgida? Yes/No
hivi ukikatwa kichwa unakufa?
Hivi mjamzito anajifungua mtoto wa kike au kiume? Utadhani kuna option ingine
 
haya ndo maswali ya kioima joto ya ITV.

Hivi ukioa mkeo, umamgida? Yes/No
hivi ukikatwa kichwa unakufa?
Hivi mjamzito anajifungua mtoto wa kike au kiume? Utadhani kuna option ingine

You are so Optimistic aisee
 
Chini ya katiba mpya anaweza kuhalalisha kugombea tena kama alivofanya Abdoul Wade wa Senegal. Siasa Africa uhuni mtupu. Lazima kuwepo na kipengele kwenye katiba mpya kinachozuia marais wastafu kugombea tena.
 
For me big NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Back
Top Bottom