New please read!

red16

Member
Aug 16, 2012
22
4
Hi jf members, just joined your thread so hii ni kama hodi tu coz kuingia kimya kimya naona kama sio issue! Tuko pamoja guys kama vp mida..!
 
ungetuambia kwenye hoja mchanganyiko kule tungekusoma tu!Hapa watu tunakuja kucheka na kutaniana sawa!Karibu
 
karibu mgeni.Pita uwani upakuliwe pilau ule maana sie co wachoyo kama wazaramo
 
Nimekusoma mkuu, kama vp nitakaza coz nina uzoefu wa kutosha kama Mombasa nilipakua itakuwa hapa jf?

Ha ha ha! Nadhani hii threat yako iko sehemu mahususi kabisa (Nimecheka already). By the way karibu sana kiongozi!
 
kama makwenzi yangewezekana kutumwa kwa bluetooth ningetengeneza kama ishirini mazito kama mizinga halafu ningeyatuma magogoni yakamtoe mtu manundu sababu ananiudhi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom