New palm tree resort bagamoyo ni ya mchungaji getrude rwakatale na bia inauzwa

rugumye

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
561
178
waumini wa mikocheni B assy of GOD mnajua k new palm tree resort ni Mchungaji G rwakatale? iko pale bagamoyo. au anatekeleza ile kauli ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu?
 
pesa sio haram hata ipakwe damu ya mtu,watu wataifuta na kuitumia kama kawaida.!
 
Tatizo ni kuuza bia wakati yeye anahubiri kanisani kwake kuwa pombe ni haramu. Maana yake nini?
 
Hebu weka uthibitisho hapa. Simu yako si ina kamara? Weka mambo hadharani ili mtu ashindwe kujitetea.
 
pombe sio haramu, haramu ni wewe unayeitumia vibaya. pombe ni dawa ya maumivu, ndio maana ukiinywa wakati umefiwa usahau kwa muda au ulia sana baada ya hapo kimya. Nakutetea wewe mzee pombe uliyenifanya niwe na marafiki wengi, natetea unavyoleta usawa ukisha nywewa, waweza kumwambia ukweli unayengwaya hata kama ni bansa. asante sana Mr. Magufuli kwa kunifanya nipendeze. Amina.
 
Mkuu labda ulitaka auze nini hapo!? Uji wa ulezi na togwa? Umeshaambiwa it's a Palm Tree Resort na sio Assemblies of God church. Tuacheni fikra za kimwigulu Njemba.
 
pombe sio haramu, haramu ni wewe unayeitumia vibaya. pombe ni dawa ya maumivu, ndio maana ukiinywa wakati umefiwa usahau kwa muda au ulia sana baada ya hapo kimya. Nakutetea wewe mzee pombe uliyenifanya niwe na marafiki wengi, natetea unavyoleta usawa ukisha nywewa, waweza kumwambia ukweli unayengwaya hata kama ni bansa. asante sana Mr. Magufuli kwa kunifanya nipendeze. Amina.

Mbona RC mapadri wanakunywa laga bana,na mbona pia makanisa yote wanakunywa mvinyo,tatizo liwapi msiwe kama chama cha mpira Zanzibar ambao wamekataa kudhaminiwa na makampuni ya nayotengeneza pombe ilihali wazanzibari wanafakamia biere na mikonyagi kama wamezaliwa Mchikichini.Pombe sio haramu
 
Wanakimbia kivuli chao wenyewe hao. Kwani hela za maendeleo wanazotumia zinatokana na nini kama sio ushuru from pombe?
 
pombe sio haramu, haramu ni wewe unayeitumia vibaya. pombe ni dawa ya maumivu, ndio maana ukiinywa wakati umefiwa usahau kwa muda au ulia sana baada ya hapo kimya. Nakutetea wewe mzee pombe uliyenifanya niwe na marafiki wengi, natetea unavyoleta usawa ukisha nywewa, waweza kumwambia ukweli unayengwaya hata kama ni bansa. asante sana Mr. Magufuli kwa kunifanya nipendeze. Amina.

Ha ha ha...walevi bana..kaazi kwei kwei
 
Amani Karume akiwa Rais alikesha yeye na kina Mohamed Hashim wakinywa konyagi mpaka asubuhi, ndio maana alikuwa anaamka saa saba mchana. Lakini sera ya serikali yake ikiwepo ofisi ya Mufti haitaki pombe
 
Tatizo ni kuuza bia wakati yeye anahubiri kanisani kwake kuwa pombe ni haramu. Maana yake nini?

Mbona Alhaji Ismail Aden Rage ana hotel huko Tabora na pombe kali zinauzwa na hatumsemi? Au ndo ule usemi wa kunya anye kuku, akinya bata mharisho?
 
Tatizo ni kuuza bia wakati yeye anahubiri kanisani kwake kuwa pombe ni haramu. Maana yake nini?

Mungu wa mchungaji mama Lwakatale ni pesa, hata mahubiri yake yanalenga kumpata pesa. Neno kutoka Biblia hulichombeza kuwatia ganzi waumini wake wawe na tumaini la kwenda mbinguni kama ccm inavyo tutia ganzi kwa ari mpya, kasi mpya ya maisha bora kwa kila Mtz.
 
Hata kama ni kweli huyu mch. Atafanikiwa duniani lakini mbinguni fungu lake la kukataliwa;mwamini yesu anayemtaja ili uokoke
 
Tatizo ni kuuza bia wakati yeye anahubiri kanisani kwake kuwa pombe ni haramu. Maana yake nini?

Nilifika pale mwaka mmoja uliopita nikaambiwa ni ya Rev. Rwekatare!! Sio hilo tu wakati fulani kwenye tamasha la michezo la shule yake miaka miwili iliyopita muda ulipofika wa kuserebuka DJ akaweka ile santuri iliyokuwa maarufu sana yenye kibwagizo Allaji alaji alaji alaji alaji alaji Nakuambia mama alivyojirusha hata supa nyamwera HAINGII ni zaidi ya hii:target::target::target::target::target:
 
aliyegundua pombe anastahili heshima kubwa kuliko aliyegundua ndege, kwani ndege imesababisha Rais wetu hatulii nchini mwake, kila kukicha kutaka kujua yaliyojili india hata china. kwi kwi kwi, teh teh.
 
waumini wa mikocheni B assy of GOD mnajua k new palm tree resort ni Mchungaji G rwakatale? iko pale bagamoyo. au anatekeleza ile kauli ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu?
siyo mbaya kuitwa Mchungaji Kiongozi Mwanasiasa Mheshimiwa Mbunge Mfanyabiashara Mama Getrude Rwakatale
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom