New opportunity to Tanzanian

Kusema kweli mimi binafsi huwa namu-admire sana kijana huyu Yusufu Manji, najuwa watu huwa wanamsema mambo mengi lakini ukweli unabaki pale pale kwamba binadamu huyu ana business acumen hisiyo ya kawaida ukulinganisha na umri wake.

Watanzania tunapashwa kujifunza mengi kutoka kwa kijana huyu, ana uwezo wa hali ya juu kujuwa ni wapi atapata nyenzo (capital) za kuanzisha biashara zake, chukulia mfano wa kwenda kukopa fedha NSSF ambazo zilikuwa zinakaa bila ya kuzalisha kitu chochote cha maana, kakopa kajengea vitega uchumi vyake vya maana ambavyo kila mtu anaviona, na kusema kweli amebadirisha mandhali ya jiji letu, kwa hilo tunapashwa kumpongeza kusema ukweli.

Kuingia kwake katika biashara ya mawasiliano ya simu, atafanikiwa sana kwa kuwa anajuwa ni kitu gani kinahitajika hapa kwetu, alafu ni muangaikaji na mtafiti sana, mimi ni mdau katika fani hii niliangalia mambo ambayo Technical Director wake alikuwa anayatolea ufafanuzi ndiyo nikajuwa kwamba Mr.Manji ni kichwa SANA.
 
Hakuna kitu kuna zaidi ya usemayo hapa!

Kuna watu vichwa zaidi ya huyu bwana na wengine wakufana na plan zao kwenye makaratasi hatukuona wakipewa tena kwa kusumbuliwa mpa wakakata tamaa.............do you believe ni level playing field? Usiwaone kuwa watnzania wote ni mambumbu bana...........zitolewe furasa sawa hapa uone maajabu! tena waje tu hapa JF tutwapa vichwa vya kuigeuza Tanzania kuwa paradiso
 
Ni kitu kizuri kwani sio watz wote wanaweza kuwa wajasiliamali wale wapenda kuajiriwa ni fursa kwao pia hata entrepreneurs wana nafasi ya ku-capture opportunities zitakazo tokana na kuanzishwa kwa mtandao huu.
 
Back
Top Bottom