New numbers

Opticf

Member
Oct 4, 2012
62
4
Inakuwaje namba inakubeep halaf ukipiga unaambiwa namba hyo haipo ichunguze kwa makini na upige tena
 
Waweza kuiwekea daiveshin hiyo number kwa namba ya kubun lazima iseme hivyo.

Near by Meta high school Mbeya.
 
Back
Top Bottom