New member.

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Nimekuja kufundisha zaidi,nimefuatilia thread nyingi hapa JF hususani Jukwaa la siasa hazina mashiko,watu wanakuwa wanajadili watu zaidi kuliko hoja huu ni umbeya.Zaidi tukane kwenye Forum ya elimu.Kwenye siasa nitakuwepo kujadili hoja sio umbeya ambao wengi wamekuwa wakijadili.
Kwenye Elimu naamini Mi ni miongoni wa wamiliki wa Biology ya advanced level.Wanafunzi walio makini wafuatane na mimi sambamba Kila wk kutakuwa na kitu paper iliyosheheni vitu vikali kwa ajili ya watu wakali.I mean the superstars, If ur not a potential/superstar find other sources coz JF ni sehemu ya wat2 wenye kutumia akili zaidi (cognitive domain).
Kama wewe unaifeel biology tembelea kwenye jukwaa la elimu naweka kitu cha wiki hii.Mods naomba mniruhusu kutoa darasa huru kwa wanafunzi wa Biology tanzania na nje pia.
 
Uwe mvumilivu wa kuzikabiri changamoto humu JF maana naona style uliyoingia nayo mmmh.
kwa kuwa wewe ni gwiji la Biology kama ulivyojinadi, tutawaandaa wadogo na watoto wetu kupata elimu hiyo. karibu sana humu jamvini.
 
Dah! Karibu sana mwalimu wa biology, somo nililolipenda o' level, lakini lilikuwa linanitoa knockout!!
 
Back
Top Bottom