New member

Hi guys!!
Nimejaribu kufuatilia gharama za kununua LED flat screen Dar na NRB, inaonekana bei kwa Kenya iko chini ya zaidi ya Tsh.200,000.00. Aina ya tv ni Sony bravia 32" new model make ya Malysia kwa Ksh. 32,000.00 eqv to Tsh.600,000.00. Hivi inatokana na nini kwamba TZ gharama ziko juu au mwenye uzoefu zaidi ni wapi unaweza pata kwa Dar and at how much?
 
ur warmly welcome!kuhusu swal lako heb elekea kwnye jukwaa la technology...hko kuna wataalam kbao!
 
Hi guys!!
Nimejaribu kufuatilia gharama za kununua LED flat screen Dar na NRB, inaonekana bei kwa Kenya iko chini ya zaidi ya Tsh.200,000.00. Aina ya tv ni Sony bravia 32" new model make ya Malysia kwa Ksh. 32,000.00 eqv to Tsh.600,000.00. Hivi inatokana na nini kwamba TZ gharama ziko juu au mwenye uzoefu zaidi ni wapi unaweza pata kwa Dar and at how much?

upo nje ya jukwaa nenda jukwaa la matangazo au biashara utakutana na wachumi watakupa sababu ya tofauti ya bei ukitaka kujua zaidi kiutalaam njoo jukwaa la sayansi yani jamii ni kila k2 uku umekosea njia alafu kujitambulisha kunajukwaa lake wakati mwingine soma rules kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom