New Member

Crystal

Member
Mar 3, 2011
37
0
Hello great thinkers,i am a new member in the forum and would like to be part of the thoughtful minds in the society....i appreciate your contributions.
 
Karibu sana JF jamvini, na hapa ni jamvi la kuwatetea CHADEMA na kuitukana SERIKALI, karibu sana !
 
ThinkTwice hauwezi kuwa constructive hata siku moja, mtu mzima akili hovyo, maswala ya CDM vs Serikali yanatoka wapi kwenye hii thread?
 
u really are new,brand new,natumaini kuwa wewe ni mpambanaji,ila usishangae maana humu wote sio great thinkers,..kuna tambwe hiza humu,january makamba,salva rweyemam,na vilaza wengine kama malaria sugu,..kuna waheshimiwa wabunge makini na wazalendo(atleast for now we cant tell the future)kama MNYIKA,REGIA MTEMA na wengineo
 
Karibu sana ndugu uje kuendeleza jamvi hili la waumiza vichwa, ambalo natamani nishawishi kwenye uundaji wa katiba mpya mtandao wa JF nao uwe muhimili wa nne.
 
Hello great thinkers,i am a new member in the forum and would like to be part of the thoughtful minds in the society....i appreciate your contributions.

Crstal wewe ni he au she?
Nauliza ili just kupata picha ya mtu tutakeyekuwa nae kwenye hii jumuiya kubwa ya JF na si kwa ubaya.

Otherwise nimekupa senksi kwa kujiunga JF, Karibu sana!
 
I am a "she" and thank u.
 
Crstal wewe ni he au she?
Nauliza ili just kupata picha ya mtu tutakeyekuwa nae kwenye hii jumuiya kubwa ya JF na si kwa ubaya.

Otherwise nimekupa senksi kwa kujiunga JF, Karibu sana!

jamani watu mnatafuta wachumba humu mbona mawali mengi mpaka mgeni anaona aibu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom