New lady here

Karibu sana bibie hujachelewa sana mambo ndo kwanza bado ya moto moto.
 
Fidel80 asante na idumu hii forum.
Kyachakiche asante na nitokako ni jambo.
Limbani asante nawe.
Bao3 asante kaka.
Kibongoto kweli wanajamii ni wakarimu nawe asante.
Nyani Ngabu asante na kweli jamiiforums inanikosha kuona upeo wa watu kwenye mambo kadhaa na kupata habari motomoto na kuliwaza.
Caroline Danzi nashukuru(nimeshindwa kukujibu kighana japo najua tu Akwaaba).kilugha chetu tunasema wakondya. Ambe
Kaizer asante itakuwa ni kati ya miji hiyo ila ni ghana.
Balantanda asante nawe.
 
Asante kushukuru. Usiadimike basi...
 
Soseji between your legs. Thank you

Looking for that stuff here? Why you ain't said that from the start tho?

Yo, you got a better shot at Myspace /High Five, one of them social hook up sites, know I'm saying, or Harmony.com, that's official too. I don't know about here tho, it's a bunch of sophisticated-half-frustrated politrikcian wanna-bees who ain't about to fall for some sausage hunting death traps like your mojo. But keep hustling, I don't know, you may trap a few tho, stay on a grind.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom