New 'Kauli mbiu' : It is Soccer first and Not 'Kilimo Kwanza'; Brazil twaomba....

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Mpira Kwanza na Siyo Kilimo Kwanza:
Footbal first and not 'Kilimo Kwanza'. Watanzania twapenda dhama hizi za 'kauli mbiu' . je wafikiri baada ya hii kauli mbiu (Impliedly it sound to be the case) , Kauli mbiu hipi itafuatia? Karibuni kina Dunga, Kaka, Robinho et al . Twaomba mtuchangia japo kidogo kwenye bajeti yetu manake 'tumefulia saaaana!' na kukopa huko benki kwa riba ya asilimia 18-25 itafanya tuwe muflisi. Tunaahidi hatutasafiri safari bila kibali chenu!
 
Ratiba, sasa tanzania gumzo ni Taifa Stars na Brazil, thereafter wold cup mpaka mid july halafu miss Tanzania, kipindi chote hiki watanzania watakuwa kama Pinokyo hata moto ukichoma miguu yao hawataungua, baada ya hapo uchaguzi sasa hapo kauli mbiu Ijayo itahusu uchaguzi, at least kujustify failure ya maisha bora kwa kila mtanzania. Like "tulikupa hukutumia, tupe tukupe"
 
Back
Top Bottom