New JF stars...Afrodenzi...si mchezo na anatisha .......i!!!

Huyu dada anatisha sana na anameremeta...Hebu ona vitu vyake...


Yaani amechapa wastani wa mitundiko 47 kwa siku. Hii ina maana baada ya mwaka mmoja atakuwa anafukuzana na wazeee wazima wa JF kwa kuchapa posts kama 17000!!!

Namfagilia sana huyu mjukuu wangu....Bravo AD!!!

Mimi nakupongeza dada yangu kwa mchango wako. Maana hata hizo thanks zinavyoonyesha unacho posts kinakubalika sio bora ku-post. Congrats.
 
DC wacha tu..bao moja la hatari aisee..lakini hamna noma tutafika tu au sio

Kweli kabisa...tujipe tu moyo kwani hata kobe halali njiani pamoja na kutembea mdogo mdogo... Ila hawa wajukuu wamekuja na gia kubwa sana inayoleta changamoto zaidi!
 
Hapa mnaongelea nini? Mabandiko? ngoja na mimi nkanunue "kisimu changu cha mchina" itakua bandiko mia kwa siku! LOL
Hongera Afro kwa kulala na keyboard!:party:

hahah hahahahah lol ulijuaje na lalaga na keyboard lol
asante sana Kimey...
 
Dah kweli unatisha hongera mwaya halafu umerushwa na babu DC jihesabu mwenye bahati sana

mmmhhh asante sana mwaya..
yaani we acha tu najihisi ninabahati ya ajabu ..
hii ni zawaidi yangu ya x-mass...
asanteni sana
 
babu DC yaani leo umenipa surprise ....
asante sana babu kwa zawadi yangu ya x-mass...

Usijali mjukuu wangu..Mimi nipo tu nawapenda wajukuu zangu wote. Wasi wasi wangu na kinachoninyima usingizi ni hao watu wanaotaka kuwachakachua. Hope week end imeisha ungali mzima!!

DC
 
asante sana babu leo kwa kweli ..
mmmmhhhhh ninafuraha ambayo haitakaa ifutike usoni mwangu asante sana ...
sijui nikushukuru vipi babu...

Usiwe na shaka kajukuu....Kunywa glass moja ya white wine kwa niaba yangu. Unaweza pia kunywa glass ya Amarula, BUT at your own risk!!
 
Usijali mjukuu wangu..Mimi nipo tu nawapenda wajukuu zangu wote. Wasi wasi wangu na kinachoninyima usingizi ni hao watu wanaotaka kuwachakachua. Hope week end imeisha ungali mzima!!

DC

usijali kuhusu hao watu babu umetufundisha vema
hawata weza kutuchakachua kirahisi hivyo babu......
weekend ilikuwa nzuri tu babu....
naona we ulikuwa busy kwatunza wajuuku
pole sana na majukumu babu.. AD
 
Usiwe na shaka kajukuu....Kunywa glass moja ya white wine kwa niaba yangu. Unaweza pia kunywa glass ya Amarula, BUT at your own risk!!

labda wine kwa usiku huu babu ...
na leo ni weekday kazi zimeanza tena...
ningepeda kukukaribisha weekend inayokuja
tusaidiane na hii amarula labda tonic na Gin kidogo ..
ntajaribu kuwaalika na wajukuu wengine wakubwa...:party:
 
Back
Top Bottom