New JF stars...Afrodenzi...si mchezo na anatisha .......i!!!

Shukurani sana! Nilishawahi kuambiwa kwamba maneno huumba. Kwa hiyo I am taking the underlined sentence with a bold note.
:A S crown-1: and nakuvisha umalikia wa posts nzuri.
Thanks for the big hug! :whoo:

mmmhh asante sana mkuu..
umenifanya hata mie nitabasamu lol
hugs are always nice na asante kwa kulipokea....:party:
 
Makosa matatu:
1. Babu hawezi kusoma bila mawani - bia tatu
2. Babu hana nyuma - bia saba
3. Samahani bila kutubu - mimba.

Madude umeyahifadhi salama? Hii baridi ni hatari asee.

Mmmh......
 
hongera....!
wasiliana na mods wakupe mabandiko yangu yote yawe yako
 
Hapa mnaongelea nini? Mabandiko? ngoja na mimi nkanunue "kisimu changu cha mchina" itakua bandiko mia kwa siku! LOL
Hongera Afro kwa kulala na keyboard!:party:
 
Hongera AFRODENZI!Ni kama vile samaki na maji jinsi unavyoitendea haki keyboard yako!!!!
 
Dah kweli unatisha hongera mwaya halafu umerushwa na babu DC jihesabu mwenye bahati sana
 
mihogo niandae wapi ndugu yangu,
hapa nimechanganyikiwa coz tokea shemeji yako akusindikize juzi hajarudi home hadi leo,
na ww nikikupigia simu yako inasema niache ujumbe.
vipi yuko wapi?kama unajua alipo mwambie anitumie tu pesa ya chakula hayo mengine atajijua mwenyewe!


Cheusi nimepienda hii mpenzi kama uko hivyo utakua unaishi kwa raha sana katika dunia ya mahusiano
 
Hongera Swtht and keep it up.

Nilikuwa nasubiri reaction yako...bado sijaona immotions...hebu rudia tena basi..Hujui jinsi alivyokuokoa baada ya tender ku-abort? Basi mtendee haki AD na mlipe kadri ya anavyostahili!!


DC
 
Hapa mnaongelea nini? Mabandiko? ngoja na mimi kkinun ue kisimu changu cha mchina itakua bandiko mia kwa siku! LOL
Hongera Afro kwa kulala na keyboard!:party:

Hapo vipi mkuu? Hope siyo offensive!
 
Ukishapajua then?




Maty, Maty, Maty......Mhhhhhhhhhhhhhhhh



Hujambo mjukuu wangu?

Nipo babu nasikia wivu umepata chombo kipya lol ila kama alivyosema cheusi we nitumie hela ya kula tu hayo mengine endelea kujipa raha
 
Nipo babu nasikia wivu umepata chombo kipya lol ila kama alivyosema cheusi we nitumie hela ya kula tu hayo mengine endelea kujipa raha

Hapana Maty,

Babu ni wa wajukuu wote...Anatenda haki kuliko unavyoweza kuamini na anawatunza wajukuu zake kwa uzuri sana!
 
hahhahahah lol umenichekesha..
hamna strategy yeyote ...
navutiwaga tu na mambo mengi humu ndani kwa kweli ni Thread zenu ndo zilizo nifanye hivyo..
actually i should thank you... take care

thanks too! Nikiwa kwenye computer ntagonga panapo husika. Natumia mob muda huu
 
Hongera Afro...una speed shosti si mchezo..keep it up darling
 
Back
Top Bottom