New Habari leo watoa gazeti la kila wiki la kurasa 72 litakalouzwa Afrika Mashariki nzima

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Katika pita pita yangu nimeona gazeti la The African la New Habari lenye kurasa 72.
 
So, What? Hoja iko wapi hapo? or waste or our time to read this???

hoja ni kwamba nani atalisoma kama hata hilo habari leo lenyewe halisomwi , tena ukiweka la kizungu ndo kabisaa watafanyia dust-bin na kufungia maandazi
 
So, What? Hoja iko wapi hapo? or waste or our time to read this???

Sijaelewa mantiki hasa ya muanzisha thread ana mean nini na hii thread au anatuambia nini hasa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona hueleweki linatolewa na nani? TSN au New Habari 1996 ltd

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nzasikia limeuza kama njugu jana, kufika saa 8 mchana likapotoe kwenye meza za wauzaji. Na leo hii asubuhi nimepigiwa simu na mdogo wangu kutoka Nairobi kwamba ameliona mitaani -- watu wakilishangaa na wengine kununua!
 
Hili gazeati ni product ya new habari corporation, lina page 72 nimelisoma gazeti limesimama , lina cover story za nchi tano tanzania , uganda,kenya ,rwanda na burundi.wahariri wake inaonekana wameenda shule content ina prove, sidhani kama Bagenda ana uwezo wa kuandika niliyoyasoma kwenye hilo gazeti,makala za bagenda kwenye Rai zinadhihirishwa huyu mzee amechoka anaganga njaa baada ya kuliua gazeti lake alilokuwa anamiliki pamoja na karamagi mzee wa tics
 
Back
Top Bottom