Iyo gesi ya mnazi bay ingawa yetu wanatuuzia kwa pesa za kutupa hv ina maana hatuwez chimba wenyewe?au hatuwezi kuingia ubia wa 50%?kuliko kuwaacha wachimbe wao na watuuzie sisi kwa bei ya kutupa ingawa gesi ni yetu?
....kuchimba wenyewe?you mean serikali au? hakuna kitu kama hicho bro,TANESCO mbona ya serikali lakini umeme hakuna na ni bei mbaya kuliko,TTCL or ATC mbona hawakutupa bei nzuri zaidi ya upuuzi tuu,TBL kabla ya South hawajachukua tulikuwa hata kuzalisha bia hatuwezi na kuishia kunywa Tusker za wakenya,acha wenye utaalam wao wafanye kazi so uzalendo wa kijinga,muhimu ni fair deal tuu kwa wananchi