New Englanders 0 - 0 All Stars

Saikosisi

JF-Expert Member
May 4, 2007
528
31
Matokeo ya mechi ya leo kati ya timu ya WabongoTz waishio Massachusetts (New Englanders) na wale wa Majimbo mengine hapa USA (All Stars) ni suluhu ya bila kwa bila.
Mechi hiyo kali ilichezwa kiwanja cha Alewife jijini Cambridge, MA ambapo pamoja na hali ya hewa kutokuwa nzuri sana shauri ya mvua mashabiki kibao walijitokeza kuja kushuhudia mpambano.
Link ya Picha za timu zote mbili imeambatanishwa hapa chini


http://www.saikosisi.webatu.com/index.php

Sawa ...
 
Last edited:
Back
Top Bottom