New Cabinet: The Alternative!

Ha ha ha ha ha ha, HII NI BABU KUBWA. Watu kama wewe ni muhimu sana kuondoa presha na hasira za watu humu jamvini. Mbavu zinauma kwa kucheka. Anyway, issue ya William haikupaswa kujibiwa kwa matusi, kejeli wala hasira. We are also to required to criticise contructively. Watu tunataka viongozi waje hapa kuleta hoja zijadiliwe, wapate mawazo mapya ya kuwasaidia kuleta maendeleo. Kama hali yenyewe ndo hii, nani atakuja? Pengine William katumwa kudadisi maoni ya wadau ili baraza lipanguliwe upya kabla ya bajeti. Nani anajua kuwa Williamu hajatumwa? Mi naona mwenye mawazo mazuri ayatoe tumsaidie. Mimi naona Waziri Mkuu anafaa kuwa Samweli Sitta kutokana na rekodi yake ya nyuma. Mwingine aendelee.


- Sawa sawa mkuu sana umeeleweka sana!

William.
 
Back
Top Bottom