New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

Napenda kuuliza hivi Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka ameshasitaafu/kuacha kazi za Shirika la Makazi? maana nijuavyo kama atapewa uwaziri ni vigumu sana kuendelea na kazi ile kwani atakuwa na majukumu mengi sana ya hapa na pale.:israel:

Kesha staafu na ndiyo maana akagombea ubunge.
 
What matters to me is the size of the cabinet. An overbloated cabinet is very expensive. We do need some experienced people among them but not an enviromentally friendly cabinet with a lot of recycled ministers from Nyerere/Mwinyi era. Wape vijana wachache wachape kazi
Mkuu I like your name!!
 
Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.

Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.

1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye, cost implication na sio performance.

List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.

Do you think JK understand the language of cutting cost? He does dot give a damn about cost!!!
Just wait and see his lifestyle.
 
Usafi wake ni wa mashaka. Kwani alitumia pesa za TPDC kujiwekea mazingira ya kupata ubunge bila kupingwa kule kwao na kumuondoa Mwambulukutu. Waliofanya fanya naye kazi CEEST wakikueleza mambo yake hautapenda hata kumkaribia.

You have the wrong information, Mwandosya hakuchukua kiti cha Mwambulukutu, constituency ya Mwakyusa ndio ilikuwa ya Mwambulukutu kama sijakosea!!
 
2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar kisha kuja bara, au kuwa VP 2015.

List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
Pasco
Wanabodi, hili ni bandiko la 2010!.
P
 
He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Mkuu Mhe Waziri Kitila Mkumbo , nakusalimia tuu, na kukupa pole kwa msiba huu mzito. Pia nimeifurahia hii hoja yako humu.
P
 
He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Kitila Mkumbo kwa sasa anakuja kuchungulia as a guest ama kuingia na Fake IDs
 
He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Kitila usijekuifuta hii comment yako hapa, iache kila mwenye macho na akili timamu aisome, ili usihukumiwe mbele ya safari.
 
He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Hi hon. Kitila, do you remember this statement? Una maoni gani Leo hii kuhusiana na hili??

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.

Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.

1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye, cost implication na sio performance.

2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar kisha kuja bara, au kuwa VP 2015.

List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
Pasco
Umetisha mkuu..
 
Back
Top Bottom