New bites & vitafunio in dar es salaam

Oct 2, 2012
18
8
kwa wafanya biashara wadogo wadogo , wanao husika na vyakula mbali mbali ,na kwa matumizi ya nyumbani, tuna watangazia BITES au vitafunwa vipya jijini DAR ES SALAAM , asili yake ni nchi ya france,hutumika muda wowote ule uhitajipo, unaweza kuagiza kiasi chochote uhitajicho na kuletewa pale ulipo zina uwezo wa kukaaa siku 45 bila kuharibika .wasiliana nao kupitia number +255 658 030 604.
 
Attachments

  • 17.jpg
    17.jpg
    27.8 KB · Views: 161
Labda vipya kwako ila vimekuwepo muda mrefu hapa TZ na hata kwenye mahoteli mengi sana dar. nafikiri vinaitwa wafer(spelled damn close to it) hutengenezwa mayai na unga wa ngano (kama sijakosea).
 
Hongera kwaku comment, hata hivyo wafer kama uviitavyo wewe vina fanana kwa ukaribu na (DESELER) bites hizi mpya ninazo tangaza kwa mfano mchanga nyiko na mwonekano kidogo ila sifa kubwa ya deseler mbali na mashine rahisi na adimu in ayo tengeneza hua zina dumu kwa muda mrefu na zina ladha ya kipekee ni kama cake yenye sifa za biscuts.
 
Toa maelezo ya kujitosheleza bana, siyo kusema vitafunwa vipya vitafunwa vipya, kwa hiyo tunapofika pahala tunataka kula hivyo vidubwana tunasema "naomba vitafunwa vipya"? na ladha yake ikoje? bei? upatikanaji? vitafunwa gani zaidi ya hivyo mnauza?
 
sawa kiongozi wangu kwajina ninaitwa DESELER ladha yake kukuelezea ni ngumu ila mchanga nyiko wake wakati wa utengenezaji una fanana na wa keki ila hivi vina zidishiwa mahitaji na huokwa wakati wa upikaji mbali na hapo upati kanaji wake ni dar es salaam MIKOCHENI B number ya simu ni +255658030604 na vita funwa vingine ni sebaki hupatikana kwa wingi nchini italy asante.
 
kwa wafanya biashara wadogo wadogo , wanao husika na vyakula mbali mbali ,na kwa matumizi ya nyumbani, tuna watangazia BITES au vitafunwa vipya jijini DAR ES SALAAM , asili yake ni nchi ya france,hutumika muda wowote ule uhitajipo, unaweza kuagiza kiasi chochote uhitajicho na kuletewa pale ulipo zina uwezo wa kukaaa siku 45 bila kuharibika .wasiliana nao kupitia number +255 658 030 604.

SWALI;
1. Vinatengenezwa hapa hapa bongo au mna-import kutoka uko France/Italy

2. weka bei kwa single piece or dozen

3. Je!, kama vinaingizwa toka nje, vina idhinisho kwa mlaji toka kwa mamlaka ya chakula Tanzania, ( TFDA)?.

Naomba utujuze kabla ya kuchangamkia mautamu.
 
mmmmh..kitu kinachodumu kwa siku 45...mnaweka kemikali za kufanya viwe fresh muda wote huo au mnafanyaje visiharibike...
 
packing yake tumeitengezeza kwa kutumia mifuko laini inayo ruhusu hewa kupita ili kuzuia joto kukaaa ndani ya mfuko, Bei yake ni TZ shilingi 1000 kwa kimoja kinacho kua na vipande vitano , nakuhusu uwezo wa kukaaa muda wa siku 45 inatokana na kwamba viko katika hali ya biscuits ndo maana vina uwezo wa kustaimili siku hizo na sio zaidi kutokana na kwamba hatuja ongeza aina yeyote ya chemical ndani yake asanteni jamani.
 
Whaaao! Waffles hizo nadhani zipo tz kitambo (I'm so missing the famous Belgian Waffles'').. mkuu asante kwa hili tangazo, kila la kheri kwenye biashara yako. Nikihitaji nitakuwasiliana nawe!
 
Target maeneo karibia na vyuo fungua hata kiji store. Maeneo hayo

Target maeneo ya kati kati ya jiji maofisini jaribu kuchukua tenda mkuu kama ni vitamu utauza tena na tena

Usijisumbue mitaa ya temeke mwembe yanga watoto wa huko wamezoea mihogo na vitumbua..
No offense
 
Back
Top Bottom