New ACSEE Syllabus

I like it.

Gud adv..

Bt fm6 kufeli ts just ya dectn..

Nimefundishwa vipnd 10vya geo toka fm5 histor cmjui mwalim bt stl JMC does..

Al0n na nw ts TCU time.

kaka cc ticher wa hist alikuwa anasema mwalimu, ha teach ila ana guide, na aki kuteach bas ata cheat! Akmaliza kusema hvyo anakata mbuga, ticha wa language alitususia! Ila mamisuli ma sala mwishowe tukatusua! Zingatien sana sala, sbb NECTA n mzimu ucpouendea sala una kuroga ata km ulikuwa wa kwanza tangu unaaza std1.

Huo ndo ujinga wa wanao badili badili mitaala, wanaongeza vitu halafu vitabu hawatoi! Mwl. Si malaika kwamba atajua kila kitu, vile vile ingekuwa vzr ili wanafunzi wawe karibu na material! Mlioko wzara ya elimu lina wahusu hili.

Cha kusikitisha kuna topic imeletwa kutoka Hist 3 ambayo ni mpya kwa wengi wa wanafunzi ila ticha anawaambia mkajisomee sasa kwa mfano Mbeya nzima hakuna shule inayofundisha Hist 3 mpaka songea girls, Lugalo Iringa na nyinginezo za mbali.

Tafuten material pia kun teacher anaitwa mkumba yko dar, ana vi booklet ambavyo vya hist n vizur naamin atakua na hizo topic mpya.

Of course kila k2 kina changamoto zake so,kam mwanafunzi wa Adv kazi yako ni kutafuta na kujisomea mwenyewe..dont rely on teachers,nimebahatika kuiona H2 kupitia kitabu cha mwandishi Zisti Kamili kwa kiasi kikubwa amejitahidi kukomposi hvyo go and hav some new books for you....kwa tuliosoma ile ya mwanzo 2000's kidogo kwenye H2 ni lazima as a teacher usome tena kimtindo particuraly the new issues from mid and far east

Na uzuri ni kwamba ukisoma unaweza kujibu swali lolote kwasababu tayari umesoma ila msije kuleta ushaloharo alafu mkadhani maisha ni mepesi,Adv ni juhudi yako ww bnafsi na ukitaka kuchana flesh ni lazima usome hasa,haya mambo ya new topics/silabi,just forget abt it kwani hata mie wakati naanza fm5 2004 most of things were so new 2m L1 inclusively bt in the end I made my dream pssble.

Tatizo wadogo zangu wengine mnataka msave hela na hapo hapo mpasue NECTA, lazima uwekeze hapo! Nunueni vitabu, tafuteni vitabu mvikamue hakuna short-cut F6. Ukielewa vizuri somo husika hakuna cha kukatisha, hata wakae vipi hao NECTA na vimitihani vyao utakamata banda tu. Lakini ukizembea saizi, waulize wanaounga unga masomo watakuambieni.

Kitu kingine nachotaka kuwaambieni wadogo zangu ni kuwa "Life is what you do, there is no time someone will alart you to start your life. Take it in your mind while struggling for your dreams come true".

Cha kusikitisha kuna topic imeletwa kutoka Hist 3 ambayo ni mpya kwa wengi wa wanafunzi ila ticha anawaambia mkajisomee sasa kwa mfano Mbeya nzima hakuna shule inayofundisha Hist 3 mpaka songea girls, Lugalo Iringa na nyinginezo za mbali.

inshort kwa sasa hakuna HI 3

mimi ni mwalimu wa history,kwa bahat nzuri ninayo format ya necta kwa masomo yoote,maana nilienda semina,na kwakweli tatizo kubwa ni vitabu.ila NECTA wameshatoa mpaka na jinsi mtihan utakavyokuwa,watakaosoma kwa topic za zaman ni form 5 na 6 wa SAYANSI TU,,,,,,,,,kama upo dar jitahidi tuonane nikupe. Naomba msaada kwa PCM coz nltaka ku risit this 2012 ila nimegaili till 2013. Naomba sna msaada wako maana nackia kuna pepa moja ya hesabu mara hv mara vile.

weka mambo jukwbni.kila mtu anashida na hiyo kitu....so weka mambo hadharani.

Ushauri; madogo msisome kitabu kimoja mfano cha zist kamil au nyangwine tu, changanyen material sababu hiv vitabu kila mwandish ana uongo wake, so pitien vitabu mbalimbal mfunguke ktk uelewa toqic. Hakikisha pia unapitia past paper za kutosha,

Kuna kila dalili kuwa mtafeli maana hamjishughulishi.Kumbukeni mchango wa mwalimu ni 40% tu ktk kuwezesha ufaulu mwanafunzi. Kama sasa mko busy na keyboard jamvini mtaperuzi saa ngapi wakati mnajua umeme nao ni wa mgao?

hawa ndiyo baadaye wanalalamika kuwa wamefelishwa. Utandawaz unacost kwa wasiojua kuutumia

Its am0ng facks.
Pigen buku mad0go, lif la kitaa halina definati0n..

kaka cc ticher wa hist alikuwa anasema mwalimu, ha teach ila ana guide, na aki kuteach bas ata cheat! Akmaliza kusema hvyo anakata mbuga, ticha wa language alitususia! Ila mamisuli ma sala mwishowe tukatusua! Zingatien sana sala, sbb NECTA n mzimu ucpouendea sala una kuroga ata km ulikuwa wa kwanza tangu unaaza std1.

Kwa wanafunz wanaotumia muhtasari mpya wa 2009,mim nawashauri muwe mnaingia intaneti hakuna kinachokosekana,kama upo mjini au mahali unapo access intanet baaas nenda kaangalie kuna mambo meeeng,,,,,,hasa kwa paper 2,mim ni mwalimu wa HISTORY 1&2,huwa naandaa notes kwa msaada mkubwa wa notes za mtandanon,ni member wa many Online LIBRARIES,,,,,kuna resources nyingi sana na useful,kuna pictures ambazo zinaadd credibility,,,,,,, UTUMIEN UTANDAWAZ,jaribu kumuomba syllabus mwalim wako utoe copy,,,,,ile format ina xamination content tu

Kuna kila dalili kuwa mtafeli maana hamjishughulishi.Kumbukeni mchango wa mwalimu ni 40% tu ktk kuwezesha ufaulu mwanafunzi. Kama sasa mko busy na keyboard jamvini mtaperuzi saa ngapi wakati mnajua umeme nao ni wa mgao?

uzur ni kwamba syllabus ya sasa inasema wazi kuwa mwalim amuongoze mwanafunz au amuelekeze mwanafunz vitabu na pia asimamie diskashen,sasa sijui kwanin vijana wanalaumu wakat wanaweza kutafuta risosezi net????

this is the revised geography of 2009 replaced by 2000 syllabus. zilizotolewa ni pamoja na regional economic intergration.na kuunganisha baadhi ili kujenga syllabus consistence-mwendelezo. zilizoondolewa mnazisoma o level so itakuwa ni repetition.new topic added ni;
1. the dynamic earth and consequences
2. water use and management
3. wetlands and swamps.
zilizounganishwa kuwa moja ni:
1. environmental issues-minning,fishing,forestry,agriculture and tourism
2. water pollution and conservation imewekwa kwenye water use and mngt.
\lengo ni kuwapata geographers wazuri sio wale wa kukariri vitini vya akina nyangwine na wenzake lazima msome na kusikiliza vitu vingi bahati mbaya walimu wenu kwa sasa wapo shallow walimeza vitini. TAFUTA KITABU CHA GEOGRAPHY INTERGRATED BEI SHS 74,000/= NA KINGINE CHA PRACTICAL GEGRAPHY AUTHOR PRITCHAD BEI SHS 34,000/= MWAMBIE MSHUA AKUNUNULIE HIVYO.
GENERAL OBJECTIVE IS TO ENABLE CANDIDATE 2 DEVELOP SENSE OF COMMITMENT TO PRESERVE AND UTILIZE RESOURCES AS HERITAGE 4 FUTURE GENERATION.

this is the revised geography of 2009 replaced by 2000 syllabus. zilizotolewa ni pamoja na regional economic intergration.na kuunganisha baadhi ili kujenga syllabus consistence-mwendelezo. zilizoondolewa mnazisoma o level so itakuwa ni repetition.new topic added ni;

the dynamic earth and consequences

water use and management

wetlands and swamps.

zilizounganishwa kuwa moja ni:

environmental issues-minning,fishing,forestry,agriculture and tourism

water pollution and conservation imewekwa kwenye water use and mngt.

\lengo ni kuwapata geographers wazuri sio wale wa kukariri vitini vya akina nyangwine na wenzake lazima msome na kusikiliza vitu vingi bahati mbaya walimu wenu kwa sasa wapo shallow walimeza vitini. TAFUTA KITABU CHA GEOGRAPHY INTERGRATED BEI SHS 74,000/= NA KINGINE CHA PRACTICAL GEGRAPHY AUTHOR PRITCHAD BEI SHS 34,000/= MWAMBIE MSHUA AKUNUNULIE HIVYO.

GENERAL OBJECTIVE IS TO ENABLE CANDIDATE 2 DEVELOP SENSE OF COMMITMENT TO PRESERVE AND UTILIZE RESOURCES AS HERITAGE 4 FUTURE GENERATION.

Ahsante kwa msaada wako wa mawazo.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom