Neves say Never

Kweli Mkuu,
Kabakabana hajatangaza zabuni. na huu ni ufisadi wa hali ya juu
Si umeona Mkuu eeh?
Ameshakiuka taratibu za Manunuzi ya Umma!
Tangaza tenda ili wajitokeze watu wenye uwezo tofautitofauti!
Isije ikawa ni wale wa kuingia NAKIETE CHEMISTS!
 
Si umeona Mkuu eeh?
Ameshakiuka taratibu za Manunuzi ya Umma!
Tangaza tenda ili wajitokeze watu wenye uwezo tofautitofauti!
Isije ikawa ni wale wa kuingia NAKIETE CHEMISTS!

hee tangu lini mapenzi yamekuwa tenda?
 
nothing comes at ease, kabla hujaanza kufurahia angalia ulikosea wapi huko nyuma na ujirekebishe, pia pata time ya kumsoma. Kwa umri nilioishi najua kuwa all lovely men are prayers and they know how to care mwanzo na kutupa. however all the best.
 
thanx for good advise dear,bado namsoma sijampa moyo wangu wote
 
hahaha mungi umenifurahisha kweli! Hajabahatika kupata phd lakini ana masters 3 na degree 7 kwangu naona fresh tu jinadi na wewe.

Nitumie proposals zako nikutumie quotations za mapenzi tuone kama naweza kuwin hiyo zabuni hahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
Siyo hivyo Mkuu, zamani nilikuwa naitwa Dr. Love, na sasa naitwa Profesa Love!
kwahiyo najaribu kama naweza kufanya mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
yani weewe kama mchawi vile
 
Hongera kabakabana for the new found love.
Just promise urself good time in that brand new relatinship; say u r going to enjoy it nomatter what.

Don't look for mistakes/faults as, as sure like sunshine u will find them.

Be true to urself, n keep the relation first for ur sake n then for ur partner.

Mwisho nakutakia kila lenye heri! Enjoy!
 
Siyo hivyo Mkuu, zamani nilikuwa naitwa Dr. Love, na sasa naitwa Profesa Love!
kwahiyo najaribu kama naweza kufanya mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

hapana kwa kweli,na usipende kumpindua mwenzako coz ipo siku na wewe utapinduliwa.
 
Hongera kabakabana for the new found love.
Just promise urself good time in that brand new relatinship; say u r going to enjoy it nomatter what.

Don't look for mistakes/faults as, as sure like sunshine u will find them.

Be true to urself, n keep the relation first for ur sake n then for ur partner.

Mwisho nakutakia kila lenye heri! Enjoy!

thank u so so much,am planing to make the best out of it.Hes such a sweet man n honest in deed.I hope we'll make it! May God bless u for such wonderful wishes.
 
babu tena lazima upokee,vipi lakini afya yako kwa sasa?
Mungu aliye mwema kanipigania...No wonder wazee tunapona watoto wanakufa........

Huyu Mungu mwacheni aendelee kuitwa Mmungu na aendelee kukaa huko huko aliko manake akitokea tutamuuliza maswali mengi sana.....
 
hapana kwa kweli,na usipende kumpindua mwenzako coz ipo siku na wewe utapinduliwa.

Sawa, nakutakia mapenzi mema, kuwa mvumilivu, Ukiheshimu hisia za mwenzi wako na ukawa unajali za kwako, itakusaidia kukufanya uwe na tumaini chanya wakati wote. Wakati wa matatizo, hasa kipindi ambacho hampo kwenye maelewano mazuri, utabaki na imani kwamba yote yatakwisha.

Penda kuamini kuwa "hili nalo litapita" kwamba wakati ambao mwenzi wako amenuna, hataki kuzungumza na wewe, unachopaswa kufanya ni kuheshimu hisia zake na uamini kwamba mwisho atatulia na uhusiano wenu utaendelea kwa maelewano makubwa.

Ukitaka kulazimisha awe mchangamfu kwako kipindi ambacho amenuna, ni sawa na kukaribisha matatizo zaidi. Ni vema kuelewana, watu wengi wanakosea katika uhusiano wao kwa sababu hawatumii busara ili kuwawaelewa wenzi wao pindi wanapoonesha hali tofauti.

Busara iendelee kuchukua nafasi. Maneno "hili nalo litapita" liwe somo kwako. Kwamba leo umerudi nyumbani, umetaka chakula cha faragha, mwenzako amekwambia hajisikii vizuri. Hutakiwi kupandisha mizuka na kusababisha nyumbani pasilalike kwa siku hiyo.
 
Mungu aliye mwema kanipigania...No wonder wazee tunapona watoto wanakufa........

Huyu Mungu mwacheni aendelee kuitwa Mmungu na aendelee kukaa huko huko aliko manake akitokea tutamuuliza maswali mengi sana.....

maneno yako mazito kweli babu.Namshukuru Mungu kwa uponyaji juu yako.Ni kweli njia zake ni za kweli lakini mafumbo kwetu!
 
thank u so so much,am planing to make the best out of it.Hes such a sweet man n honest in deed.I hope we'll make it! May God bless u for such wonderful wishes.
KAUSHAURI KABURE MJUKUU WANGU:

Take care.... Sisi wanaume tunakuwaga hivyo at the beginning..... baada ya muda tukishatimiza haja zetu ndo tunapoonyesha our true colours.... Nakutakia mema, usisahau kumshirikisha Mungu katika hili...na kumshirikisha Mungu maana yake ni NO BED BUSINESS before marriage.... Kumshirikisha Mungu wakati unampanulia mtu mapaja, take it from me, Mungu si mjomba, atakutosa.

Kama vipi bora ucheze mchezo wa kama noma na iwe noma. Kama ni chepe na iitwe chepe na wala si kijiko.

Baada ya kusema hayo nakutakia heri katika uroda wako mpya, usisahau kunipa kadi.
 
Back
Top Bottom