Neves say Never

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Nimeanza kuukubali msemo huu.Baada ya kung'atwa na nyoka kila nilipoona nyasi sikuweza kuacha kutapatapa!
Nililia na mapenzi mie mpaka nikahisi na gundu, nikaapa sitaki tena mapenzi.Trust me or not i realy meant it!
Out from the blue,ametokea jamaa amedeclare mapenzi mazito kwangu mpaka hata sijui nifanye nini.Kidogo kidogo ameanza kuwin moyo wangu.
Nachowaomba wanajf wenzangu mnitakie kheri kwenye hili penzi langu jipya na mnipe namna za kulifanya lilast forever.
 
Mods kama unaweza nirekebishie title, it has to read Never say Never.
 
Kabla hujatumbukia kwenye hilo penzi tete, hebu come this way babu nikufanyie ukaguzi......
 
babu tangu jana nilikuja,huo ukaguzi bado tu,
Tatizo uliingia kama geti krasha. BTW hilo penzi jipya unalotaka kulianzisha tayari mtu kashaonja kitumbua au kaambulia japo kuondoka na harufu ya pafyumu yako? Babu liko jilaz sana na wajukuu zake ujue....
 
Uuuuh,
Gud newz!
Never say Never, coz you Never Ever know whats ever gonna happen in life!
 
Tatizo uliingia kama geti krasha. BTW hilo penzi jipya unalotaka kulianzisha tayari mtu kashaonja kitumbua au kaambulia japo kuondoka na harufu ya pafyumu yako? Babu liko jilaz sana na wajukuu zake ujue....

hehe babu sasa hayo mambo ya chumbani
 
Umemwuliza qualification yake kwenye mapenzi?
Wengine tunasubiri zitangazwe vacancies
Nimeanza kuukubali msemo huu.Baada ya kung'atwa na nyoka kila nilipoona nyasi sikuweza kuacha kutapatapa!
Nililia na mapenzi mie mpaka nikahisi na gundu, nikaapa sitaki tena mapenzi.Trust me or not i realy meant it!
Out from the blue,ametokea jamaa amedeclare mapenzi mazito kwangu mpaka hata sijui nifanye nini.Kidogo kidogo ameanza kuwin moyo wangu.
Nachowaomba wanajf wenzangu mnitakie kheri kwenye hili penzi langu jipya na mnipe namna za kulifanya lilast forever.
 
Umemwuliza qualification yake kwenye mapenzi?
Wengine tunasubiri zitangazwe vacancies
Si umeona Mkuu eeh?
Ameshakiuka taratibu za Manunuzi ya Umma!
Tangaza tenda ili wajitokeze watu wenye uwezo tofautitofauti!
Isije ikawa ni wale wa kuingia NAKIETE CHEMISTS!
 
Taratiiibu ameanza kuwin
Je akiwin kweli then anasepa what should you do?
(Siombei itokee)
Nimeanza kuukubali msemo huu.Baada ya kung'atwa na nyoka kila nilipoona nyasi sikuweza kuacha kutapatapa!
Nililia na mapenzi mie mpaka nikahisi na gundu, nikaapa sitaki tena mapenzi.Trust me or not i realy meant it!
Out from the blue,ametokea jamaa amedeclare mapenzi mazito kwangu mpaka hata sijui nifanye nini.Kidogo kidogo ameanza kuwin moyo wangu.
Nachowaomba wanajf wenzangu mnitakie kheri kwenye hili penzi langu jipya na mnipe namna za kulifanya lilast forever.
 
Umemwuliza qualification yake kwenye mapenzi?
Wengine tunasubiri zitangazwe vacancies

hahaha mungi umenifurahisha kweli! Hajabahatika kupata phd lakini ana masters 3 na degree 7 kwangu naona fresh tu jinadi na wewe.
 
Mbona hammpi maujanja ya kulifanya penzi lake liweze kulast? Au at least asiumie?
 
Back
Top Bottom