Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,138
- 16,200
mapenzi ya zamani yalikuwa yanavunja watu MIGONGO, ya siku hizi yanakata kucha tu
Nimewapenda hawa, mpaka kifo kiwatenganishe-na mara nyingi akitangulia mmoja jiandae kumsindikiza na wa pili!!
mapenzi ya zamani yalikuwa yanavunja watu MIGONGO, ya siku hizi yanakata kucha tu
kweli kabisa.., bibi yangu alifariki september 2000 na babu akafuata june 2001. walikuwa na miaka 85.kweli kabisa nilishaona wazee kama hawa mmoja alipoondoka bado kwenye nyumba yake ya milele kunamashada na mwingine huyoooooooooooo akashow love kwa kumfuata mwenziwake
Just a curious question; Hawa walivyokuwa watoto vile kulikua na Color Pictures?
Don't go the extra mile