Network ya tigo iko down

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Hatupigi wala kupigiwa simu kwa mtandao wa tigo, tufahamisheni kulikoniiiiii
 
Mtandao wa tiGo leo umepatwa na kwikwi network hakuna kwa Dar
 
kama una appointment au dili la pesa na unayo laini moja tu ya tigo imekula kwako...
 
Hii ni technical problem ? au .. Wameanza kuhujumiana.. hawa jamaa, maana toka saa tisa mie simu yangu aitokiii .. Sijui hili tatizo ni tz nzima au baadhi ya maeneo
 
Tigo miyeyusho kinoma! Bora amia mtandao mwingine tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
 
Hatupigi wala kupigiwa simu kwa mtandao wa tigo, tufahamisheni kulikoniiiiii

Dahhhhhh!nilidhani kiselula changu cha kichina kime expire!
Ok ngoja tusubili maana mie tangu saa10 kasoro kamegoma ku operate.
 
Hawa jamaa naona hawako kikazi zaidi ni uzembe, leo ni mara ya pili ndani mwezi huu wa tisa...
 
Sorry our customers for disturbances caused,we have technical issues and our engineers are working on it,be patient we'll rectify asap.
 
Ni kawaida kwenye mitambo huwa kuna wakati inaweza ikasumbua kidogo!!kama mwili wa binaadam anaweza akaumwa ghafla...bila hata dalili yeyote!tuvumiliane tu!
 
Sorry our customers for disturbances caused,we have technical issues and our engineers are working on it,be patient we'll rectify asap.
Acha kutuzingua bana,tuvumilie mpaka lini?huo u kuku kuku wenu mtuondolee ingawa I'm not sure if u r the one of tiGO stuffs!
 
Acha kutuzingua bana,tuvumilie mpaka lini?huo u kuku kuku wenu mtuondolee ingawa I'm not sure if u r the one of tiGO staffs!

Why not? What makes you tink so? Thanks guys for ur patience,we restored the services but our eng still monitor the performances! Express urself.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom