Network router inayokubali usb modem

kebo

Member
May 8, 2012
11
0
Hi,
Nataka ni nunue NETWORK ROUTER kwa matumizi ya nyumbani., Lakini hizi router nyingi zinatumia ethernet wired kutoka kwa ISP(Internet service provider). Nilikuwa nataka kujua kama kuna network router yoyote supporting USB MODEM ambayo utachomeka kwenye router na kupata internet. Aina gani na jina lake kama ipo hapa bongo.
 
Tfuta Buffalo Airstation, zina usb. Hapa Bongo sijui nani anauza.
 
ebwana kama bahati maana me ninayo inayokubali zote mbili na ninaiuza,ni zyxel(made in taiwan) NBG4115iko na vifaa vyote kama antena,adopter,user manual.inapiga kazi fresh,nimeitumia kidogo tu.inauzwa kwa tsh 130000 maelewano yapo.nicheki 0658309632
 
Back
Top Bottom