Network ndani Bank Tanzania nzima hakuna!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Tangu asubuhi ya saa mbili oo nusu nipo ndani ya benki ya NBC na hapa Meru Branch Arusha na nikaenda mpk pale Uhuru na hakuna Network na hbr waliopokea ni kwmb karibu benki zote hapa Nchini hakuna network.

Je? Kwa walioko benki zingine hili ni kweli?

TTCL hili mnalijua? Ama imeshakuwa desturi ya kwetu kupuuzia vitu kama hivi?
 
hapo sasa tatizo litakuwa benk sio isp mana kama ni ttcl mbona benk nyingine poa tuuuu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
hapo sasa tatizo litakuwa benk sio isp mana kama ni ttcl mbona benk nyingine poa tuuuu

Mkubwa!

Mpk sasa bado nimo ndani ya NBC BANK na tetesi nyingi tunazopata kupitia kwa baadhi ya wateja waliomo humu zinasema hata NMB,CRDB na hata vile vibenki vingine vya wizi navyo vyote hapa A town hawana huduma kisa ni hii hii ya NETWORK.

Mkubwa kama una wadau huko lengwa hebu sema nao tujue zaidi chanzo ni nini!

Ama ndiyo tuseme Saint Ivuga ndiyo kamaliza kwa kusema waliopewa majukumu bado wapo kwenye siku ya wapendanao?
 
Mmh litakua tatizo lao wenyewe,hawa mabank mara nyingi wanakua na reduntant links maana moja ikifeli nyingine inapick maybe network problem ya LAN yao! Wajaribu kucheck na watu wa IT.
 
bongo dsm huku no problem, nimetoka BARCLAYS BANK kudeposit 1,239,000 network is okey. teh teh
 
Mkubwa!

Mpk sasa bado nimo ndani ya NBC BANK na tetesi nyingi tunazopata kupitia kwa baadhi ya wateja waliomo humu zinasema hata NMB,CRDB na hata vile vibenki vingine vya wizi navyo vyote hapa A town hawana huduma kisa ni hii hii ya NETWORK.

Mkubwa kama una wadau huko lengwa hebu sema nao tujue zaidi chanzo ni nini!

Ama ndiyo tuseme Saint Ivuga ndiyo kamaliza kwa kusema waliopewa majukumu bado wapo kwenye siku ya wapendanao?
Nadhani ni tatizo specific kwa NBC , sehemu zingine zinazohudumiwa na ttcl zinatoa huduma kila kona ya nchi
 
Wakuu ndiyo network imerudi kwa mtindo mmoja na hakika watu wamefurika na hata wengine waliokuwa wanawahi nafasi wamezuiliwa hapo nje baada ya saa tisa kamili kugonga na ndiyo muda lengwa ya kufunga.

ANGALIZO::
Tangu asubuhi hakuna network na hawa maaskari wanajua kbs na muda huu ndiyo network imerudi sasa si wangetoa hata mpaka saa tisa na nusu ndiyo wafunge.

Shida niliyoona ni kwamba hata hw maaskari elimu yao ya darasani ni ndogo sana.

Tangu asubuhi wanainchi wako pembezoni mwa benki lakini muda huu ni soo tena kuingia ndani!

Kuna kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom