Netbook laptop inahitajika

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
ebana wakubwa mwenye netbook anauza inahitajika na mm mwnyw' iwe na hdd isiyopungua 160 gb, ram 1 gb.... Ikiwa hp au dell au samsung itakua makini zaidi. Ofa ni 350,000/=. Unayo fanya kuni PM au tuma txt 0655003510
 
Mkuu baraka607,vi2 vyako unatubana bei,vya kwetu unataka bei chee! Mwisho wa cku inakula kwetu inashiba kwako,loh

hahaha hamna mzazi jeff' hiyo ndo bei ya netbook kwa specification hizo mkubwa.... Me nafanya biashara so najua bei zake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom