Netanyahu Humiliates Obama Again

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Netanyahu Humiliates Obama Again

The Obama administration must understand that the Israeli prime minister is essentially a right-wing Republican.

By MJ Rosenberg

The Obama administration's attempts at seducing Binyamin Netanyahu, the Israeli prime minister, are getting embarrassing. Netanyahu has made it very clear he is not interested.

According to Ha'aretz, the latest (and most cringe-worthy) moment in the saga came this week when Dennis Ross, the president's top adviser on Israel-Palestinian issues, convinced Obama that Israel would only agree to an extension of the settlements freeze if Obama would "come off as friendlier" to Bibi.

So Ross and his aides (working with the Israelis) drafted a letter to Netanyahu in which the US would give Israel everything it could possibly want in exchange for a two-month freeze.

The details of the letter were revealed by researcher David Makovsky on the website of the Washington Institute for Near East Policy.

According to the report, the letter included incentives crucial to Israel's security that Netanyahu has been demanding for years. For example, the US pledged to support Israel's position on stationing Israeli troops in the Jordan Valley after the establishment of a Palestinian state, in order to prevent weapons smuggling.

The US also would not ask Israel to further extend the building moratorium and would pledge that the issue of settlements would be dealt with only as part of final-status talks with the Palestinians, the letter reportedly said.

The US also reportedly would veto any UN Security Council resolutions on the Israeli-Palestinian conflict this year, would upgrade Israel's defence capabilities after the peace agreement, and would increase security assistance.

This reportedly would include providing Israel with advanced fighter jets and early warning systems, including satellites. The US also would start talks with Arab countries toward a regional agreement vis-a-vis Iran.

Netanyahu's one-way street

It is hard to imagine anything Ross left out. For Bibi, the Ross offer was a dream come true. All that for a 60-day freeze.

But Bibi said "no".

And why? "Netanyahu said he appreciated the letter but could not accept the American proposal because it included a two-month extension of the construction moratorium, which he said would damage his public credibility."

But the "moratorium" was the whole point of the offer. Bibi seems not to believe that his dealings with the US have to be two-way streets. He will only consider deals where the US gives and he gets. (But then, that is the way it always is.)

Ross and the other administration figures are now "incensed," having been played yet again.

They even went up to Capitol Hill to discuss the situation with Bibi's pals up there. No dice.

So it is back to the drawing board. Maybe Ross can give Bibi one of the 50 states (Alaska!).

But that will not work. The word from Israel is that Netanyahu is counting on a huge GOP landslide to save him from Obama. And then in 2012, there will be a Republican president who is more likely than Obama to let him bomb Iran.

Netanyahu has done this before. During the Lewinsky affair, he came to Washington, ignored President Clinton, and went up to the Hill to smoke cigars with Speaker Newt Gingrich and exchange Monica jokes. To understand Bibi, you need to realise that as much as he is Likud, he is a right-wing Republican.

Here is what we should do. Tell Netanyahu that either he agrees to the freeze or the US slows down the delivery of aid. After all, Israel is the #1 recipient of US aid in the world. Surely, there are ways the Pentagon can indicate displeasure.

Or maybe we can refuse to veto one of those Security Council resolutions that rightly condemn Israel's actions in occupied areas. We do not always have to be the one country in the world that stands alone at Israel's side when the UN attempts to pass a resolution we know is right.

I mean, we are the United States. We are also Israel's only real ally on the planet. We do not have to take this kind of dissing lying down.

And Dennis Ross, who came to the White House from the AIPAC-created Washington Institute for Near East Peace, should devote his attention to some other region of the world, one in which his penchant for wishful thinking would be relevant.

MJ Rosenberg is a senior foreign policy fellow at Media Matters Action Network. The above article first appeared in Foreign Policy Matters, a part of the Media Matters Action Network.
 
obama hana hadhi ya kuongea kitu na Netanyau...obama ni mtu sifuri sana na hana maana. safi sana Netanyau. why waste time with a friend of terrorists?
 
Maneno kama haya yanaonyesha baadhi ya ufinyu wa elimu wa baadhi ya watu au upofu!
 
obama hana hadhi ya kuongea kitu na Netanyau...obama ni mtu sifuri sana na hana maana. safi sana Netanyau. why waste time with a friend of terrorists?

Huyu ndiye Obama, "the Black Muslim in the White House!"

barack_hussein_osama2.jpg
 
Binadamu tuna matatizo wengine wanafikiri wanao teseka palestina ni WAISLAM tu, la hasha ndugu zangu kuna WAKRISTO NA WAOTHRODOX kibao palestina nao pia wanateseka.
Hii ni sawa na siasa za bongo eti kwa sababu wewe BABA yako ni balozi wa nyumba kumi au ni kiongozi CCM basi unaona wewe ni bora zaidi wakati wote tunapata mahitaji yetu kwenye duka moja la mchaga/mpemba na bei ya unga, sukari, maharage wote ni moja mpemba/mchaga aangalii kadi ya chama.
 
Hakuna aliyedai wanaoteseka ni Waislamu pekee huko Palestina, isipokuwa wanaowafanya watu wateseke Palestina ni Waislamu pekee! Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo ya Mashariki ya Kati utakubaliana na mimi kwamba kila kunapokaribia makubaliano ya amani, Hamas na vikundi vingine vya Kipalestina huwa vinatibua mambo!
 
Je,umekwenda mbali zaidi na kujua kwanini kuna makundi ya wapelstina na yana misimamo tofauti.!!! Unaposikia jambo katika radio au televisheni lifanyie utafiti kidogo,kwasababu wanaoandika habari ni wanadamu na wengine huwa na interest zao.
Hivi unajua South Africa kulikuwa na PAC na ANC, sasa kama adui yao alikuwa ni mmoja kwanini wawe na misimamo tofauti.
Je unajua Hamas walishinda uchaguzi Marekani na Israel wakakataa kuwatambua, hapa anayetibua mambo ni nani!! Jimmy Carter mwakilishi wa Marekani alithibitisha uchaguzi kuwa wa haki,EU walikubali, jiulize nani alitibua mambo!
Tatizo la watanzania ni kutosoma vitabu, vichwa vya habari pekee haviwezi kusaidia mtu kuielewa dunia. CCN wakisema Nguruvi ni mbaya basi kuna watu wanameza kama walivyosikia, BBC wakisema World cup haitafanikiwa sauzi kuna watu walimeza kama ilivyo.
Na mwisho,nikusaidie kidogo, hivi unajua ndani ya bunge la Israel [KNESET] Kuna mbunge wa Kipalestina, hivi unajua Iran ina raia wa kiyahudi na wabunge wayahudi, Hivi unajua Makamu wa rais wa zamani wa Iraq Tareq Aziz [ambaye yupo hai lakini mgonjwa] alikuwa mkristo. Hivi unajua Shnan Ashrawi mmoja wa viongozi waandamizi wa PLO ni mkristo, Hivi unajua kuna Wa Israel Waislam kama ilivyo kwa Wapalestina wakristo.Hivi unajua wiki iliyopita kuna Wayahudi wameilani serikali yao kwa vikwazo Gaza na wanapeleka Flotila ya misaada Gaza. Hivi unajua sehemu kubwa ya watu ndani ya Flotila iliyozua kasheshe walikuwa si Waislam. Hivi unajua ndani ya flotila ile kulikuwa na Raia wa mataifa mengi duniani.
Masuala ya kimataifa yanatakiwa yaangaliwe kwa mtizamo mpana wenye akili na mantiki, anayeandika kwa chuki zinazotokana na kutokujua, hoja yake itakuwa kutaja Waislam vs Wakristo.
Watanzania tusome habari kujijengea kuelewa si kukurupuka na mstari mmoja ambao baada ya muda unaona umekudhalilisha.
 
Nguruvi3 nimekugongea thanx, kwa kweli sometimes unasoma michango ya baadhi ya watu unashindwa kuelewa their thinking capacity, kichefuchefu kitupu!!
 
nashukuru mkuu kwa uelewa unaouonyesha, sasa nna maswali kwako naomba uyajibu kwa ufasaha, je baada ya kuanzishwa kwa taifa la palestina chuki ya waarabu kwa waisrael itaisha? wanaweza kuishi pamoja na kuwa na mabalozi wa nchi ktk nchi zao? je raia wa israel wanaweza tembea nchi za kiarabu freely na kuishi huko? je nchi za kiarabu zenye nia ya kuitokomeza israel ktk ramani ya dunia itaisha? mashariki ya kati kutakua na amani ya kududmu?
 
Kwanini useme chuki ya Waarabu kwa Israel(?). Kwa nini ufikirie masharti ya Muonewaji kwanza kabla ya kumpa haki anayeonewa(?). Hii ndiyo tatizo la kwanza ambalo linabidi litatutiwe.
Inavyodaiwa Wayahudi milion sita waliuawa na Hitler Mjerumani- sasa ilikuwa vipi nchi za Magharibi wakawalipe Mayahudi (waonewaji) kuonea watu wasiokuwa na hatia??
Miaka 100 ni michache sana kihistoria.Usifanye haraka kila kitu kina mwisho wake!.
Hizo habari za kuotokomeza na mengine ni habari za upotofu na inabidi watu wa huko mfungue macho kusoma ukweli. Je ingelikuwa nyinyi mmevamiwa mkafukuzwa Tanzania mkaenda kuwa wakimbizi Msumbiji, mgesherekea na kuisamehe Tanzania(?) Na mkaja kuulizwa swali la kwanza je mkipewa Ruvuma tu je mtaawachia watu walioiteka TanZaNIA WATEEMBEE fREELY rUVUMA(?)- wHAT KIND OF NONSENSE IS THIS!
 
Any "sensible" leader in this world would not try to intervene in the name of creating peace in the Middle East. Pres. Obama has chosen a wrong path in his administration this time. Thats why Netanyahu and the likes do not give a monkey on whatever efforts he is trying to push. The problem should be solved exactly as it was created back in 1940s. Multilateral Diplomacy (UN) should prevail.
 
nashukuru mkuu kwa uelewa unaouonyesha, sasa nna maswali kwako naomba uyajibu kwa ufasaha, je baada ya kuanzishwa kwa taifa la palestina chuki ya waarabu kwa waisrael itaisha? wanaweza kuishi pamoja na kuwa na mabalozi wa nchi ktk nchi zao? je raia wa israel wanaweza tembea nchi za kiarabu freely na kuishi huko? je nchi za kiarabu zenye nia ya kuitokomeza israel ktk ramani ya dunia itaisha? mashariki ya kati kutakua na amani ya kududmu?

Bona,kwanza nikutake radhi kwa kutokujibu maswali yako uliyoniluiza kwa wakati. Nilikuwa na mghafala ya safari za kimaisha.
Nadhani si sahihi kusema chuki ya wapalestina kwa waisrael, kwa maana kuwa historia hata kama itagezwa geuzwa au kufunikwa kwa hoja za sasa au za kale ukweli unabaki pale pale kuwa siku zote mwenye hasira ni yule aliyedhulumiwa na si aliyedhulumu. Kama ilivyo kwa wapalestina kujilipua mabomu ndivyo waisrel wanavyowapiga mabomu wapalestina. Kimantiki mwenye kutumia Ballistic missile kumpiga aliye na manati ni ushahidi wa kuwa chuki iliyojengeka ni ya kukosa haki. Mwaka jana marekani imetoa dola bilioni 10 kwa kuisaida Israel kijeshi,sasa kama Waisrael wasingekuwa na chuki iweje mabilioni hayo yatumike kununua baruti za kuwapiga warusha mawe.?

Waisrael na wapaelstina wanaweza kuishi pamoja bila matatizo. Kumbuka kuwa ni waisrael walipewa ardhi [miaka ya 40] na Umoja wa mataifa wakati huo. Lakini hili lilifanyika kwa shinikizo la maslahi ya marekani. Ni kuanzia hapo ndipo waisrael wakaanza kuwafukuza wapalestina kidogo kidogo hadi kufikia kuwawekwa kwenye makambi. Hiyo Gaza unayoisikia ina watu zaidi ya milioni 3 pungufu kidogo ya Dar es salaam, lakini eneo lake ni dogo sana. Kama Anwar Sadaat aliweza kutiliana sahihi mkataba na waisrael basi kutakapokuwa na maridhiano ya kweli wataweza kuishi pamoja. Kinyume na wengi wanavyodhani, wayahudi wapo hata nchi za kiarabu. Kumbuka kuwa mzozo mkubwa si kuishi pamoja kwasababu hiyo Jesusalem ina wapalestina wengi tu na wanaishi na waisrael. Mgogoro umejikita sana katika kugombea maeneo muhimu ya kidini, hasa Jerusalem mashariki. Kutokuwepo kwa mabalozi kwa nchi za kiarabu hakutokani na tofauti zingine isipokuwa hasira za waarabu na dunia kwa jinsi waisrael wanavyofanya mambo yao na kuachwa bila hatua. Hata Tanzania miaka ya nyuma ilikata uhusiano na waisrael kwa sababu hizo hizo. Ikumbukwe kuwa ni waisrael walioijengeka hoteli ya kilimanjaro na hospitali ya bugando kwa uchache tu, lakini baada ya vita ya mwaka 1973 tanzania ilivunja uhusiano nao. Kwahiyo uwezekano wa kuwa na mabalozi upo endapo tu mgogoro wa mashariki ya kati utatatuliwa kwa kuzingatia haki.

Hata sasa hivi raia wa israel wanatembea nchi za kiarabu tu, ingawa ni kwa tahadhari kwani wapo wasio na uvumilivu na hivyo wanaweza kuwadhuru. Ni sawa na raia wamarekani wanavyopata taabu kuonyesha pass zao kutokana na chuki waliyojijengea katika mataifa ya kiarabu. Tatizo kubwa ni kuwa raia wa israel huwezi jua yupi ni Mosad, kama ambavyo walivyomuua kiongozi wa Hamas kule Dubai. Walitumia pass za Australia, uingereza n.k kufanikisha malengo yao. Hii ni moja ya sababu za kutowaamini na wao kuwa walengwa hata kama si wahalifu.

Hakuna nchi za kiarabu zinazotaka kuwatokomeza waisrael, bali hiyo ni kauli ya rais wa Iran peke yake na si ya Arab league. Ni makosa kuchukua kauli ya mtu mmoja na kifanyia majumuisho. George Bush wakati anaenda Afgahnistan aliwahi sema ni vita vya crusade. Je tuamini kuwa NATO yote ina lengo la crusade kwa kauli ya Bush!!! kama siyo kwanini kauli ya Ahmadenajad iwe ya waarabu.

Amani ya kuudumu mashariki ya kati inawezekana, lakini ni lazima haki itendeke kwanza. Haiingii akilini kulani Iran kwa kutaka kuwa na silaha za nyuklia eti bila kibali cha UN, sasa nani alitoa kibali kwa Israel kumiliki silaha hizo. Na kama ni kosa kwanini Pakistan na India zisiandamwe pia.
Kama kuna vikwazo dhidi ya Iran kwanini kusiwe na vikwazo dhidi ya Israel, kwasababu Israel imekaidi maazimio mengi sana ya UN kuliko taifa lolote lile. Hivi sasa wamejenga ukuta kinyume cha UN resolution ni kwa mfano tu.
Hivi amani itapatikanaje endapo msuluhishi marekani ndiye huyo huyo anatoa pesa za silaha kuwaua wapalestiana!! Amani itatoka wapi endapo waisrael wanawafungia wapalestina gaza na west bank ili wafe taratibu, hivi ile holocust ni lazima watu wauawe kwa gas au hata kumnyima mtu dawa ni sawa na holocust in silent way.!
Amani itatokaje endapo Israel inakaidi dunia bila adhabu huku Afghanistan ikifunikwa na vifusi vya mabomu? Amani itatoka wapi kama mpalestina mmoja akijilipua na kuua watu 3 dunia inalaani, lakini waisreal wakiua watu 1000 dunia inakaa kimya.

Nimalizie tu kwa kusema wapalestina na Waisrael wanawea kuishi pamoja kama wanadamu wengine, na chuki miongoni mwao zikafutika, lakini hili litawezekana endapo tu dunia itasimamia haki. Hakuna aliyejua south Africa leo weupe na weusi wanaishi nchi moja,lakini iliwezekana tu pale dunia iliposimama na kusema ''haki itendeke,tena itendekea kwa kuona.''
 
obama hana hadhi ya kuongea kitu na Netanyau...obama ni mtu sifuri sana na hana maana. safi sana Netanyau. why waste time with a friend of terrorists?
tatizo ni mtu unadhani kwa kusoma biblia tayari wewe ni mwana wa israel... too shallow and narrow of you
 
Any "sensible" leader in this world would not try to intervene in the name of creating peace in the Middle East. Pres. Obama has chosen a wrong path in his administration this time. Thats why Netanyahu and the likes do not give a monkey on whatever efforts he is trying to push. The problem should be solved exactly as it was created back in 1940s. Multilateral Diplomacy (UN) should prevail.
well done dogo
 
Back
Top Bottom