Net za Kikwete

Vya bure bwana, umepewa unalalamika. Si mnunue vyandarua wapendwa.
'Kaongwa' kiongozi mkuu wa nchi hajalalamika. Amewaonga wananchi wake wao wanalalamika.
Mlimponda alipobadilisha vyandarua kwa Uranium kumbe zinahitajika ee.... tatizo ni matundu tu!!

Jana nimejifunika hiyo neti nimeamka usiku mrefu mkuu nakuta kuna mbuu kama mia na wengine nawashuhudia wanavyopita, so tumeliwa

ati mbu 100 Ndani ya Net ... ukitaka kuongopa ... jaribu hata kufikiria.. bana...

Kuna rafiki yangu yupo kule kwa obama,alikuwa akiniambia wao walikuwa wakilipia dola tano za kimarekani ili kuweza kuwaona mbu.
Alishangaa alipokuja tz akawaona mbu wa kumwaga ambao hawahitaji hata kulipiwa kuwaona.

wenzetu waliweza vipi kuwatokomeza hao mbu hadi kufikia hatuwa kumuona mbu ni dola tano?

Ukisema tumeliwa unanitia uchungu sana, kwani hizo net zilifanya nikagawa kura yangu kwa ccm mwaka jana. Sasa unapozibeza unaniumiza moyoni.
yaani na wewe ni kati ya waliodanganyika ungejua hizo net walibadilisha na nini usingezi thamini kabisa..

nasikia hizo neti zinapunguza nguvu za kiume,mimi nishazipotezea kitambo sana wadau!

yupo brother kaka wangu mmoja aliwafanyia utafiti mdogo kuku wake kupitia hivyo vyandaruwa. Kabla ya utafiti wake aliniambia moja kati ya kuku wake majogoo, alikuwa anapanda majike kama sita kwa siku lakini alipoanza kutumia net za jeikei kama sehemu ya kuwakinga kuku wake na magonjwa ya kuambukiza yanayotokana na wadudu jamii ya mbu,kuku wake [jogoo] alipunguza uwezo wa kupanda majike kutoka sita hadi wawili kwa siku.
Wazungu utafiti wao unaanzia kwa wanyama au watu weusi. Hivyo tangu agundue madhara yaliyotokea kwa kuku wake, imekuwa sumu tena kwake kutumia chandaruwa chenye dawa ya kudumu kwani imempunguzia idadi ya kuku wake. .

Kuna mdau aliwahi kusema eti tunabadilishana madini yetu kwa vyandarua.
Kumbe vyandarua vyenyewe havina kiwango!
Maskini madini yetu! Na siye tungewapa changarawe tuwadanganye kuwa ni almasi.

Nasikitika kuona mdudu hana kitu kinachomtishia maisha...tangu anapotaga mayai hadi kufikia kumdhuru binadamu hakuna sehemu anakutana na hatari, ndio kwanza akiingia chumbani tunamkimbia kwa kuingia ndani ya net hizi bomu.

Hapo utaambiwa mabilioni ya pesa yametumika. Wajinga ndio waliwao

Si hivyo tu muda si mrefu watakuja na "habari njema" kuwa tumefanikiwa kupunguza cases za malaria nchini....ni baada ya jitihada za serikali kuwagawia net(vyandarua) wananchi....STAY TUNED!

Si hivyo tu muda si mrefu watakuja na "habari njema" kuwa tumefanikiwa kupunguza cases za malaria nchini....ni baada ya jitihada za serikali kuwagawia net(vyandarua) wananchi....STAY TUNED!
Ni kweli ndivyo watakavyokuja na story zao za mafanikio ya kwenye makaratasi wakati hali halisi sivyo.

Nasikia hizi net zote ni saizi moja. Ina maana Watanzania wote wana vitanda vya aina moja?. Kwanini wasitoe net za saizi tofauti tofauti.

Nasikia hizi net zote ni saizi moja. Ina maana Watanzania wote wana vitanda vya aina moja?. Kwanini wasitoe net za saizi tofauti tofauti.
Yani nasema sikio la kufa halisikii dawa....na hili tena ni movie lingine la ''sirikali'' yetu.....mnatuuwa jamani na miradi yenu ya mifukoni....
Nimepita ushwahilini katika mitaa tofauti nimejionea mafundi vyereani wakizitanua......yani watu wanazi''design'' ili ziweze tosha kwenye vitanda vyao...''Sirikali'' yetu ni uwozo mtupu period.

gharama ya kuzitanua hazitafikia gharama za kununua mpya? Kama hazitoshi kitanda chako si uwaachie wengine kwani ni lazma uchukue. Watanzania bado sana.

Back
Top Bottom