Nina .aspxpage.
Page in ListView control ambayo inaoesha majina ya nchi mbalimbali(nchi zipo stored kwneye database).
Kila jina la nchi,lipo ndani ya anchor kama hapo chini.
<a>Country</a>
Nataka mouse ikiwa over hayo maandishi ,new panel iwe displayed. Panel content ni url(zenye majina ya mikoa) ambazo zipo stored katika database.
Visual aid:
Nahitaji navigation kama hii. Parent na Child Items zote zipo stored in database.
Shukrani.