Nestory Ngulla katibu mkuu wa TUCTA yuko wapi?

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
wadau yuko wapi mzee nestory ngulla aliyekuwa katibu mkuu wa tucta, ambae anahusika na ufisadi wa zaidi ya 600m,
 
wadau yuko wapi mzee nestory ngulla aliyekuwa katibu mkuu wa tucta, ambae anahusika na ufisadi wa zaidi ya 600m,

Huyu ninachokumbuka ni kwamba alifukuzwa kazi, kwa hiyo saa hizi yuko kwao anachoma mahindi.
 
Huyu ninachokumbuka ni kwamba alifukuzwa kazi, kwa hiyo saa hizi yuko kwao anachoma mahindi.

Kwa hiyo mkuu hakuna kinachoendelea, tuseme ndio wameidhinisha atumie hizo pesa akiwa jumbani, du raha sana kama ndio hivyo.,
 
wadau yuko wapi mzee nestory ngulla aliyekuwa katibu mkuu wa tucta, ambae anahusika na ufisadi wa zaidi ya 600m,

Huyu bwana anafaa asulubiwe kwani hakuwa fisadi tuu bali anahusika na kuua kabisa heshima na nguvu za vyama vya wafanyakazi nchini!! Huyu ni sampuli ya watu wanaotaka uongozi lli kujaza matumbo yao ingawa wanajua aslani kuwa uwezo wa kuongoza hawana. Tanzania yetu ndio hiyo hata vilaza wanapata uongozi; Guninita si huyo mnamuona CCM yuko kidatu cha kwanza sasa na ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa DSM!!
 
Back
Top Bottom