neno vuvuzela laingizwa rasmi kwenye msamiati wa kiingereza

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,359
The World Cup and the credit crunch have all influenced the latest edition of the Oxford Dictionary of English.



The vuvuzela, a horn instrument blown by football fans during the World Cup in South Africa, is one new entry.


And recent financial problems led to the introduction of toxic debt - debt which has a high risk of default.


The dictionary - containing the latest English words and first published in 1998 - has more than 2,000 new entries.


BBC News - Home


mnaocheza scrabble kazi kwenu.
 
"vuvuzela, a horn instrument" Je nitafsirije???

Hakika si "chombo cha muziki vuvuzela" maana si muziki inayotoka ukiipiga ni makelele matupu. Nimepata moja nikajaribujaribu - basi makelele pekee.
 
Mnaona wenzetu wanavyokuza lugha zao? Sio sisi tunaolialia tu kila siku eti kuwa Kiswahili sio kipana, hakina misamiati, na blah blah kibao zisizo na maana....
 
Back
Top Bottom