Neno Oppa lina maana gani?

He ww c mpenzo wa korean dtamas umelipata wapi hilo neno saa!????
 
Kwa wapenzi wa korean dramas hv lile neno oppa linamaana gan?

Nami pia nimewahi kulisikia katika drama fulani hivi ya haohao wakorea imeochezwa usa

kwa kifupi 'ili neno utumiwa sana na wanawake wa kikorea kuwaita wanaume wanaowazidi kiumri kama vile marafiki wakubwa wa kiume au ndugu
wakubwa wanaume pia.'
 
Kwa uzoefu wangu hl neno linatumiwa zaid na wadada wakikorea kurefer kwa wanaume waliowazd umri
 
Kwa wapenzi wa korean dramas hv lile neno oppa linamaana gan?

ni kaka anaekuzidi umri, na unamuheshim, awe ni wa damu au sio wa damu. Na kwa dada wanamuita unnie. Kumbe wapenzi wa movie za kikorea tuko wengi? Ok kaangalie na hii ( boyz before flowers, he is beautiful, she has fallen for me, empress ki, high doctor, ukimaliza hizi nijulishe.
 
Oppa ni kijiji kipo kata ya litumbandyosi, tarafa ya ruanda, wilaya ya mbinga mkoa wa ruvuma.
 
ni kaka anaekuzidi umri, na unamuheshim, awe ni wa damu au sio wa damu. Na kwa dada wanamuita unnie. Kumbe wapenzi wa movie za kikorea tuko wengi? Ok kaangalie na hii ( boyz before flowers, he is beautiful, she has fallen for me, empress ki, high doctor, ukimaliza hizi nijulishe.

hizo zote nimeziona mkuu kasoro hy ya she has folen 4 me cjaiona mpk mwisho, na hy high doctor ndo ile ya lee min ho{faith the great doctor}Km n hy nshaiona.Yan me hz drama kwakweli nazipenda sn.Nimekua addict aisee.
 
ni kaka anaekuzidi umri, na unamuheshim, awe ni wa damu au sio wa damu. Na kwa dada wanamuita unnie. Kumbe wapenzi wa movie za kikorea tuko wengi? Ok kaangalie na hii ( boyz before flowers, he is beautiful, she has fallen for me, empress ki, high doctor, ukimaliza hizi nijulishe.

hizo zote nimeziona mkuu kasoro hy ya she has fallen 4 me cjaiona mpk mwisho, na hy high doctor ndo ile ya lee min ho{faith the great doctor}Km n hy nshaiona.Yan me hz drama kwakweli nazipenda sn.Nimekua addict aisee.
 
Nilipokuwa naicheki GIANT nilisikia Lee Miju akimuita Lee Gangmo "oppa", so nafikiri lina maana ya kaka
 
Aiseeee hamna movie nazikubali km zakikorea km giant,faith,boyz over flower,he is beautiful,the heirs,city hunter kwakwel namkubali le min ho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom