Elections 2010 Neno moja la dr. Slaa linaweza kubadilisha nchi

kwanza niwapongeze wana JF popote mlipo. Nimejaribu kufuatilia thread nyingi katika forum hii na nimegudua kuwa watanzania wengi wanasubili nini Dr. Slaa atasema ili watekeleze. Hii inaonesha ni namna gani watanzania walifanya maamuzi ambayo hayakupewa thamani.

Tumwombee kwa Mungu Dr. Slaa awe na hekima kuu ili aweze kuivusha nchi hii katika vuguvugu hili ambapo hata aliyetangazwa kuwa mshindi hana furaha na urais wake maana wananchi hawamuungi mkono!

Utaona thread zinasema ... Tunangojea Dr. Slaa atamke, tutekeleze. watz wana imani kubwa naye

Hivi vijana wa KITANZANIA,, mtaacha lini kujidanganya na kuishi kwa ndoto?????
nchi haiwezi kukombolewa na vijana wajinga ambao hawataki kuamini ukweli, wanaishi kwa kujipa matumaini hewa, hawajiamini na hawataki kuukubali ukweli na pindi wakiukubali wanataka kuupindisha kwa makusudi.
HUYO BABU YENU SLAA, anajuta ni kwa nini aligombea URAIS, anajua alishindwa na hata viongozi wa chama chake wamemuacha peke yake athibitishe uendawazimu wake(jaribu kumpelekea microphone kiongozi yeyote wa chadema uone atakavyokimbia).
mnasikitisha sana vijana wa kitanzania........
mtabaki kuwa watumwa wa CCM katika nchi yenu
mtabaki kulamba viatu vya wanasiasa uchwara wa chadema mpaka pale kitakapotoweka katika ramani ya nchi
mtabaki mkiuota ukombozi wa nchi huku mkidhani hiyo kazi inatakiwa kufanywa na watu fulani na sio ninyi
mtabaki kuwa wapiga soga vijiweni, wavivu wa kufikiri na msio na utashi wa kuamua.
mtabaki kufikiria kwa kutumia magazeti na wala sio kwa kuzifikirisha bongo zenu
utashi wenu utaongozwa na imani za kidini (dini za kikoloni) na sio uwezo wa akili zenu kuchanganua mambo
hamtaacha kulalamika,hamtaacha kujidanganya, hamtaacha kujipa matumaini hewa,hamtaacha kuamini watu wasioaminika,hamtaacha kukabidhi hatma yenu mikononi mwa wanasiasa, hamtaacha kusujudia na kuabudu wasiostahili na HAMTAKUWA NA UWEZO WA KUUKABILI UKWELI NA HIVYO KUTOKUWA TAYARI KUPAMBANA NAO kwani vijana wengi wa kitanzania hususan wasomi ni COWARDS.

Nina imani Dr. wa ukweli atatumia busara na hekima zake kuinusuru nchi.

Nchi imeshanusurika kwa ushindi wa CCM na kushindwa kwa SILAHA. hivi mnashindwa hata kuangalia uso wa SLAA???? unadhihirisha majuto na kukata tamaa( kama ilivyo kwa wafuasi wake).
endeleeni kujidanganya kwamba anaweza kushawishi hata mbwa kubweka::::::::::::::::::::::: GOODBY SLAA,,, WE WONT SEE YOU IN 2015
 
Nashauri amwachie Mungu yaliyotokea, kisha turudi kujenga chama toka kwenye mashina, kata, na wilaya nchi nzima. Pili tudai kwa nguvu zote tume huru ya uchaguzi halafu mwaka 2015 sio mbali kwani itakuwa ni haki iliyocheleweshwa

Ni kweli lakini pia bila hayo matawi tulikuwa washindi. Haki yetu lazima itamkwe bayana kuwa tulinyang'anywa na wakili hivyo.
 
hivi vijana wa kitanzania,, mtaacha lini kujidanganya na kuishi kwa ndoto?????
nchi haiwezi kukombolewa na vijana wajinga ambao hawataki kuamini ukweli, wanaishi kwa kujipa matumaini hewa, hawajiamini na hawataki kuukubali ukweli na pindi wakiukubali wanataka kuupindisha kwa makusudi.
huyo babu yenu slaa, anajuta ni kwa nini aligombea urais, anajua alishindwa na hata viongozi wa chama chake wamemuacha peke yake athibitishe uendawazimu wake(jaribu kumpelekea microphone kiongozi yeyote wa chadema uone atakavyokimbia).
mnasikitisha sana vijana wa kitanzania........
mtabaki kuwa watumwa wa ccm katika nchi yenu
mtabaki kulamba viatu vya wanasiasa uchwara wa chadema mpaka pale kitakapotoweka katika ramani ya nchi
mtabaki mkiuota ukombozi wa nchi huku mkidhani hiyo kazi inatakiwa kufanywa na watu fulani na sio ninyi
mtabaki kuwa wapiga soga vijiweni, wavivu wa kufikiri na msio na utashi wa kuamua.
mtabaki kufikiria kwa kutumia magazeti na wala sio kwa kuzifikirisha bongo zenu
utashi wenu utaongozwa na imani za kidini (dini za kikoloni) na sio uwezo wa akili zenu kuchanganua mambo
hamtaacha kulalamika,hamtaacha kujidanganya, hamtaacha kujipa matumaini hewa,hamtaacha kuamini watu wasioaminika,hamtaacha kukabidhi hatma yenu mikononi mwa wanasiasa, hamtaacha kusujudia na kuabudu wasiostahili na hamtakuwa na uwezo wa kuukabili ukweli na hivyo kutokuwa tayari kupambana nao kwani vijana wengi wa kitanzania hususan wasomi ni cowards.

yawezekana kabisa wewe ni muabudu mashetani. Nchi hii iko kubaya sio hayo unayotamka hapa.
 
Originally Posted by HM Hafif
Hana lolote wala chochote. Hii ni forum maalum ya Chadema na kila anepingana na Padre Dr wa Kikatoliki Slaa basi anafungiwa.

Ameangukia pua sasa anaugulia.

Kwa kuwa upeo wako wa kutafakari mambo bado ni mdogo ukiongozwa na hisia na dhamiri mfu ni vizuri ukakaa kimya pale mada inapochangiwa kuliko kuzidi kujivunjia heshima na utu wako ukaonekana zuzu kwa kila mchangiaji!

quote_icon.png
[/B]
 
Mi nipo mguu sawa, nimeshika mestin na kipuyu cha maji nipatieni mengine....................
 
Hivi vijana wa KITANZANIA,, mtaacha lini kujidanganya na kuishi kwa ndoto?????
Ndio tunaamini siku moja NDOTO zetu zitatimia kwani hata JK alipokuwa amejikita ccm alikuwa kwenye ndoto - nasi TUACHE tuote NDOTO
nchi haiwezi kukombolewa na vijana wajinga ambao hawataki kuamini ukweli, wanaishi kwa kujipa matumaini hewa, hawajiamini na hawataki kuukubali ukweli na pindi wakiukubali wanataka kuupindisha kwa makusudi.
ukweli upi???? wa wizi wa Kura???? ukweli imetumia mabavu kuchukua ushindi??? matumaini Hewa kwa vile utawala wa ccm ni wa kidikteta au?? kamwe hatutakubali uongo na wizi wa mchana kweupe - piga kelele unavyoweza hutaweza kuubadili uongo i kuwa ukweli!!!
HUYO BABU YENU SLAA, anajuta ni kwa nini aligombea URAIS, anajua alishindwa na hata viongozi wa chama chake wamemuacha peke yake athibitishe uendawazimu wake(jaribu kumpelekea microphone kiongozi yeyote wa chadema uone atakavyokimbia).
NA HUYO BABU YENU JK (au unadhani kijana??? 60 yrs) HUMWONI ALIVYOTAHAYARI KWA WIZI ALIOUFANYA?? ANAJUA KABISA watanzania wengi hakubaliki - angekubalika angechakachukua kura za nini??? SHAME on HIM - mwangalie alivyoharibika sura - kumbe mweusi siku zote tulidhani mweupe - na bado - roho itamwuungua na itajitokeza hadi nje kwenye sura yake
mnasikitisha sana vijana wa kitanzania........
ccm ndio imetufikisha hapa - uongozi wake mbaya - na ufisadi waliofanya
mtabaki kuwa watumwa wa CCM katika nchi yenu
hapana tumeamua hatukubali tena kuwa watumwa wa ccm katika nchi yetu wenyewe - ndio tunainuka sasa - see us coming
mtabaki kulamba viatu vya wanasiasa uchwara wa chadema mpaka pale kitakapotoweka katika ramani ya nchi
wanasiasa wa chadema ni wazalendo - hakuna rushwa chadema - hakuna ubabe - uongo - udanganyifu - mambo yote yako wazi - hakuna anayetaka kulambwa viatu - viongozi wa chadema wote sio wanyanyasaji au mafia kama wa ccm
mtabaki mkiuota ukombozi wa nchi huku mkidhani hiyo kazi inatakiwa kufanywa na watu fulani na sio ninyi
ndio maana tunasubiri NENO toka kwa tuliyemwamini - kiongozi wa chadema - dr. Slaa - na hivi sasa tumeanza kwa spidi - huoni tulivyoutwaa ubunge na kuangusha vigogo wengi tu wa ccm??
mtabaki kuwa wapiga soga vijiweni, wavivu wa kufikiri na msio na utashi wa kuamua.
jamani tumeamua - ndio maana tumeonyesha kuwa tunaweza kulinda kura zetu - shida ni kuwa hatukuwa na silaha - la sivyo moto ungewaka!
mtabaki kufikiria kwa kutumia magazeti na wala sio kwa kuzifikirisha bongo zenu
yaani sasa hivi hatudanganyiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! magezeti yapi?? ya rostam azizi na uhuru la ccm???? hatudanganyikiiiiiii na magazeti tena
utashi wenu utaongozwa na imani za kidini (dini za kikoloni[ na sio uwezo wa akili zenu kuchanganua mambo
kamwe hatutaacha kumwamini Mungu mwenye uwezo wote - tutaendelea kuomba kwani MUNGU yuko juu ya yote - wala hatutakwenda kwa shehe yahaya hussein kama jk anavyofanya - kamwe!!!!!!!!!
hamtaacha kulalamika,hamtaacha kujidanganya, hamtaacha kujipa matumaini hewa,hamtaacha kuamini watu wasioaminika,hamtaacha
watu wanaominika ni kina nani??? tueleze basi tuwajue kama kuna zaidi ya CHADEMA NA DR. SLAA KIONGOZI WA CHAMA HICHO - kwani tulimwamini jk na viongozi wenzake - tukaamini ahadi zake - kumbe YOTE NI USIKU WA GIZA - UONGO MTUPUUUUUUUUU na kwa taarifa yako - tumeamka sasa - na subiri uone linalokuja..............
kukabidhi hatma yenu mikononi mwa wanasiasa, hamtaacha kusujudia na kuabudu wasiostahili na HAMTAKUWA NA UWEZO WA KUUKABILI UKWELI NA HIVYO KUTOKUWA TAYARI KUPAMBANA NAO kwani vijana wengi wa kitanzania hususan wasomi ni COWARDS.
vijana, wasomi sio cowards kama unavyodhani - TUNASUBIRI TU KIONGOZI TULIYEMCHAGUA ASEME NENO - AM TELLING YOU ............SIE HATUNA HASARA YOYOTE ..........TUNA NGUVU NA MOYO NA TUKO NYUMA YA RAISI WETU DR. SLAA - na wala sio Kikwete!!!!!!!!!!!! Ndio maana kura zetu zote tulimpa Dr. Slaa kuwa raisi - wabunge, madiwani mbalimbali wa CHADEMA - na ole wao waliochakachua kura zetu!!!
 
Nchi imeshanusurika kwa ushindi wa CCM na kushindwa kwa SILAHA. hivi mnashindwa hata kuangalia uso wa SLAA???? unadhihirisha majuto na kukata tamaa( kama ilivyo kwa wafuasi wake).
endeleeni kujidanganya kwamba anaweza kushawishi hata mbwa kubweka::::::::::::::::::::::: GOODBY SLAA,,, WE WONT SEE YOU IN 2015

Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,wehu ninyi Mtakoma.
 
Hana lolote wala chochote. Hii ni forum maalum ya Chadema na kila anepingana na Padre Dr wa Kikatoliki Slaa basi anafungiwa.

Ameangukia pua sasa anaugulia.
[/B]

ukizaliwa ulitanguliza miguu wewe, ndiyo maana akili zako ziko miguuni,
mpaka leo unafikiri-fikiri kadini kanaweza kukupeleka popote hapa duniani,
uelewe hakuna dini hata moja inawapenda wapumb@!@@@@fu, wanapendwa wajinga tu. wewe upo kwa kundi la wpmbf.
unaamini kuna maisha baada ya kifo (nadharia ambayo hakuna anayeweza kithibitisha kwa vitendo,) unashindwa kuamini elimu inaweza kutolewa bure, jambo ambalo hausubiri kufa ili kulithibitisha, ni ndani ya mwaka tu umeshajua.
naanza kufikiri kuwa wapumb@@@@@fu wanakuzidi akili wewe HM HAFIF.
nakushauri ujifunze kuelewa, usijitume kuwa mtoto milele.:bowl:
UNGA MKONO MABADILIKO KINYUME CHAKE MABADILIKO YATAKUBADILI KWA MSHANGAO NA UPENDO MKUU.
 
Nahitaji aseme neno japo si kali kupitiliza. Asiwasikilize sana hao wabeba ujumbe toka serikalini kumfuata ili asitishe misheni yake. WIS tuambie umma wa tz yaliyoko akilini mwako
 
hana lolote wala chochote. Hii ni forum maalum ya chadema na kila anepingana na padre dr wa kikatoliki slaa basi anafungiwa.

Ameangukia pua sasa anaugulia.
[/b]

this is just a flash to you so that you see how many you are in your group, its time to wake up, you are still dreaming
 
Hana lolote wala chochote. Hii ni forum maalum ya Chadema na kila anepingana na Padre Dr wa Kikatoliki Slaa basi anafungiwa.

Ameangukia pua sasa anaugulia.
[/B]
Muungwana mwislamu watafuta nini hapa kama ni forum ya chadema? Ishia kule michuzi basi!
 
Hivi vijana wa KITANZANIA,, mtaacha lini kujidanganya na kuishi kwa ndoto?????
nchi haiwezi kukombolewa na vijana wajinga ambao hawataki kuamini ukweli, wanaishi kwa kujipa matumaini hewa, hawajiamini na hawataki kuukubali ukweli na pindi wakiukubali wanataka kuupindisha kwa makusudi.
HUYO BABU YENU SLAA, anajuta ni kwa nini aligombea URAIS, anajua alishindwa na hata viongozi wa chama chake wamemuacha peke yake athibitishe uendawazimu wake(jaribu kumpelekea microphone kiongozi yeyote wa chadema uone atakavyokimbia).
mnasikitisha sana vijana wa kitanzania........
mtabaki kuwa watumwa wa CCM katika nchi yenu
mtabaki kulamba viatu vya wanasiasa uchwara wa chadema mpaka pale kitakapotoweka katika ramani ya nchi
mtabaki mkiuota ukombozi wa nchi huku mkidhani hiyo kazi inatakiwa kufanywa na watu fulani na sio ninyi
mtabaki kuwa wapiga soga vijiweni, wavivu wa kufikiri na msio na utashi wa kuamua.
mtabaki kufikiria kwa kutumia magazeti na wala sio kwa kuzifikirisha bongo zenu
utashi wenu utaongozwa na imani za kidini (dini za kikoloni) na sio uwezo wa akili zenu kuchanganua mambo
hamtaacha kulalamika,hamtaacha kujidanganya, hamtaacha kujipa matumaini hewa,hamtaacha kuamini watu wasioaminika,hamtaacha kukabidhi hatma yenu mikononi mwa wanasiasa, hamtaacha kusujudia na kuabudu wasiostahili na HAMTAKUWA NA UWEZO WA KUUKABILI UKWELI NA HIVYO KUTOKUWA TAYARI KUPAMBANA NAO kwani vijana wengi wa kitanzania hususan wasomi ni COWARDS.
Crap toka kwenye kichwa kibovu nahisi haya yanaweza kuandikwa na Rijizi namba one
 
I'll take a bullet for you by endorsing this post. Labda naweza kutofautiana na wewe kwenye msitari mmoja wa Dr. Slaa kujuta kugombea, mengine yote naona ni sahihi. Nimetoka juzi kutoa wito hapa kwa watanzania kuachana na wanasiasa hawa, hawana lolote (post yangu kwa kiasi inafanana na hii ya kwako). Hatima ya nchi hii ipo mikononi mwenu wenyewe ndugu zanguni, siyo Slaa, siyo Chenge, siyo Kikwete, siyo Zitto, siyo Lipumba, wala siyo Obama, ipo mikononi mwangu na mikononi mwako. Si advocate anarchy, tunahitaji viongozi...lakini viongozi safi.....tukikubali 'ilimradi yoyote yule' hatutafika kamwe. Porojo na procrastination (naomba msaada wa tafsiri) ni kama jadi yetu, na mimi bado napambana kuvishinda, hasa la pili. WAKATI WA KUJENGA UPYA NCHI YETU NI HUU.
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%. kwa sasa hali ni tete, asikudanganye mtu. Kinachosubiliwa ni staregy ya kutoka ikiwa ni pamoja na maneno atakayosema Slaa kwa watanzaania ili kuwapoza mioyo yao. maana wana shauku kubwa kumsikia Rais wao. Suala la kujenga Chama liko wazi hilo pia litakuwa ni neno kila mchukia Ufisadi atafurahi.... Keep your hope alive.

Mkuu!! hiyo hali tete umeiona pande ipi ya nchi hii?nadhani kuna watu bado wanaishi katika ndoto.
 
thank you very much .dr slaa say one word and the country shall be healed.kama ni kuingia mtaani acha tuingie maana si ccm wala chadema tutaumia wote hakuna kmaendeleo ya kweli ni mpaka afe mtu .

Unadhani watanzania hawa unaowaona mtaani wapo tayari kufanya unalotaka kufanya wewe?amka usingizini!!
 
Hivi vijana wa KITANZANIA,, mtaacha lini kujidanganya na kuishi kwa ndoto?????
nchi haiwezi kukombolewa na vijana wajinga ambao hawataki kuamini ukweli, wanaishi kwa kujipa matumaini hewa, hawajiamini na hawataki kuukubali ukweli na pindi wakiukubali wanataka kuupindisha kwa makusudi.
HUYO BABU YENU SLAA, anajuta ni kwa nini aligombea URAIS, anajua alishindwa na hata viongozi wa chama chake wamemuacha peke yake athibitishe uendawazimu wake(jaribu kumpelekea microphone kiongozi yeyote wa chadema uone atakavyokimbia).
mnasikitisha sana vijana wa kitanzania........
mtabaki kuwa watumwa wa CCM katika nchi yenu
mtabaki kulamba viatu vya wanasiasa uchwara wa chadema mpaka pale kitakapotoweka katika ramani ya nchi
mtabaki mkiuota ukombozi wa nchi huku mkidhani hiyo kazi inatakiwa kufanywa na watu fulani na sio ninyi
mtabaki kuwa wapiga soga vijiweni, wavivu wa kufikiri na msio na utashi wa kuamua.
mtabaki kufikiria kwa kutumia magazeti na wala sio kwa kuzifikirisha bongo zenu
utashi wenu utaongozwa na imani za kidini (dini za kikoloni) na sio uwezo wa akili zenu kuchanganua mambo
hamtaacha kulalamika,hamtaacha kujidanganya, hamtaacha kujipa matumaini hewa,hamtaacha kuamini watu wasioaminika,hamtaacha kukabidhi hatma yenu mikononi mwa wanasiasa, hamtaacha kusujudia na kuabudu wasiostahili na HAMTAKUWA NA UWEZO WA KUUKABILI UKWELI NA HIVYO KUTOKUWA TAYARI KUPAMBANA NAO kwani vijana wengi wa kitanzania hususan wasomi ni COWARDS.

Mpumbavu wewe umelishwa makombo ya mafisadi nini!!! Endeleeni kujidanganya kwamba mmeshinda wakati nafsi zetu zikitambua fika mlichofanya kwenye masanduku ya kura. Ole wenu maana mioyo ya watanzania wengi haijatulia kutokana na ujambazi mkubwa uliofanywa. Jambo muhimu utambue ni kwamba mmejiandalia wenyewe bomu litakalolipuka 2015. Hata mmchukie kiasi gani lakini Dr. Slaa ataendelea kuwa shujaa wa Tanzania kisiasa. Kwa nguvu na ushawishi wake, idadi ya wabunge wa upinzani bungeni imeongezeka.
 
Mtu yeyote ambaye anaijua Tanzania hii na watu wake, atakubali pasi na shaka kuwa joto la Dr. Slaa na Chadema lilikuwa bado halikutoshi kuichukua nchi katika uchaguzi uliopita lakini ni msingi mzuri sana wa kuujenga ushindi kuelekea 2015.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom