Neno Mama........

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
Tangazo lilotolewa na widhara ya afya juu ya kuokoa uhai as mtoto na mama mjamzito alina uhalisia . Sababu za kusema hivi ni kutokana na walioliandaa kutokua makini katika matumizi sahihi ya lugha ya Kiswahili ambapo linaanza kwa mme kuomba njia yaani wagonjwa aliowakuta wampishe njia sawaaa Ila sasa tatizo Lipo kwa Nesi anayewapokea kwa kutumia neno mama akiuliza `je ni lini uchungu umemuanza mama' na kuendelea na mjibishano na katika neno lilomuhusu huyu mwanamke Nesi alitumia neno hilo MAMA.
Sio mbaya kwetu twaweza sema huyu Nesi kaonyesha heshima lakini je katika nchi hii ya kiswahili yenye wageni wengi wanaojifunza kiswahili inakuaje apo ?????
 
Back
Top Bottom