Neno la leo:just talk to God

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Habari za jumapili wadau!! Ndo nimetoka church,na
Naomba kwa wanaoguswa tushirikishane neno la leo..sie letu ni hadithi ya ezekia inayopatikana 2 wafalme 20..ni hadithi ya ezekiah

Tunaona baada ya kuumwa,hatimaye anapewa habari ya kufa kwake kutoka kwa nabii isaya..the message was from god himself.
Lakini pamoja na hayo,biblia inasema akaelekeza uso wake UKUTANI akaanza kumwomba Mungu mwenyewe kuhusu habari ya uhai wake..kabla isaya hajatoka katika mji,Mungu akatengua kifo cha ezekia..akamwambia isaya arudi na kumpa taarifa ezekia kwamba bwana ameskia maombi yake na kuona machozi yake.

The point is,no matter what you‘re going through,just give it your back and face god,talk to god! Yeye ndo Mungu anaskia na anajibu..biblia katika isaya inasema zungumza tuhojiane,eleza shida zako. You just need a litle faith (hebrew 11:6) to move god,not even the longest prayer..

Don‘t listen to people-they can be so hurtful,disappointing and disheartening..thing is,talk to god,he‘s the master of the wind,he can calm the storm ad make the sun shine again in your life.He‘s the one who ordains your destiny.ezekiah aliongezewa 15 yrs za kuishi,sembuse wewe kuponywa ama kupata ajira?Whatever your ‘storm‘ in life is,don‘t let it kill your spirit,don‘t let people determine your attitude.
Just shift the focus from the people and your problem kama ezekiah.Face god,talk talk to him-And he‘ll do it...atafanya amini tu! Oh Glory to God!
 
Asante ndugu kutukumbusha juu ya kuwasliana na Mungu wetu kwa yote
Angalizo tu ni USAFI WA MOYO, Maombi ya mwenye Dhambi ni Makele mbele za Mungu

Tutubu na kuyaacha maovu yetu na Tumsogelee Mungu Kwa Toba
 
Asante ndugu kutukumbusha juu ya kuwasliana na Mungu wetu kwa yote
Angalizo tu ni USAFI WA MOYO, Maombi ya mwenye Dhambi ni Makele mbele za Mungu

Tutubu na kuyaacha maovu yetu na Tumsogelee Mungu Kwa Toba

Ni kweli,bt sometimes Mungu huamua kufanya kwa ajili tu ya utukufu wake na wingi wa rehema zake..
Lakini unachosema ni kweli zaidi,usafi wa moyo..kila mahali biblia inazungumzia utakatifu..tafuteni kwanza utakatifu,bible says..kuna mahali inasema ‘watakatifu wa duniani ndio anaopendezwa nao.. Nk

Mengine yote ni ziada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom