Neno kutoka kwa Mh SUGU

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
...jana nilikomaa kuitaka serikali ilete mbeya mjini ambulances tatu,moja kwa ajili ya hospitali ya rufaa,ya pili kwa ajili ya hospitali ya wazazi meta na nyingine ya standby iwapo mgonjwa atatakiwa kuletwa muhimbili n.k...lakini waziri dr mwinyi amenihakikishia tutapata ambulance moja mpya kwa ajili ya rufaa kutoka wizarani,na nyingine kanielekeza nikakomae na halmashauri ya jiji,kitu ambacho nitakifanya bila shaka..


 
Back
Top Bottom