NENEH CHERRY anakuna nazi.......

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Wamkumbuka huyu Bibie/mama kutokea mitaa ya Sweden aliyekuwa akitamba sana miaka ya 80 kama mwimbaji na Mfokafokaji (Rapper) huku akivaa Bling blingkubwa ya $$? Oyaaa, bado yupo ingawa pana wakati nilimuona akiimba Rock Music kwa nguvu sana na akiwa amevaa kichakalamu kama waimbaji Rock walivyo.

Hapa anaonekana akina na kimashine ya kukuna nazi kiitwacho COCONUT GRATER. Kwa mlioko majuu nasikia unaweza kununua kwenye minada kama EBAY wana wanakuletea. Ni kidude safi sana na kinaweza kukufanya ukawa unakula msosi kama wali kwa nazi, nyaaaamm!!!!

Angalia mwenyewe, kwanza akiwa kama mwimbaji na kibao chake maarufu...... Najua wengine watasema ule wimbo wa Seven Second alioimba na Youssour N'dour. Anyway, ule alishirikiana na mtu ila huu ni wake peke yake.

Hapa akikuna nazi ki-ulaya ulaya, lohhh :)

NB: Tupunguze stress za leo za Mkapa vs Vinsent Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio njia yako ya kupunguza stress mkuu?Nenda jukwaaa la Chit chat.
---Believdat---
 
Inategemea na mtu Mkuu.

Mie ni mpenzi sana wa gadgets za aina mbali mbali.

Chit Chat, mhhh.....................
Hii ndio njia yako ya kupunguza stress mkuu?Nenda jukwaaa la Chit chat.
---Believdat---
 
Wamkumbuka huyu Bibie/mama kutokea mitaa ya Sweden aliyekuwa akitamba sana miaka ya 80 kama mwimbaji na Mfokafokaji (Rapper) huku akivaa Bling blingkubwa ya $$? Oyaaa, bado yupo ingawa pana wakati nilimuona akiimba Rock Music kwa nguvu sana na akiwa amevaa kichakalamu kama waimbaji Rock walivyo.

Hapa anaonekana akina na kimashine ya kukuna nazi kiitwacho COCONUT GRATER. Kwa mlioko majuu nasikia unaweza kununua kwenye minada kama EBAY wana wanakuletea. Ni kidude safi sana na kinaweza kukufanya ukawa unakula msosi kama wali kwa nazi, nyaaaamm!!!!

Angalia mwenyewe, kwanza akiwa kama mwimbaji na kibao chake maarufu...... Najua wengine watasema ule wimbo wa Seven Second alioimba na Youssour N'dour. Anyway, ule alishirikiana na mtu ila huu ni wake peke yake.

Hapa akikuna nazi ki-ulaya ulaya, lohhh :)

NB: Tupunguze stress za leo za Mkapa vs Vinsent Nyerere
Heh heh kaka acha uchokozi hapo penye wekundu umenichekesha haswa ,mambo ya mtu mzima kutaka kutaniana na mtoto mdogo wapi na wapi

Last edited by a moderator:
hiyo title ilivyo kaa kidogo nijichanganye.nilijua nimeingia jukwaa la Mambo ya Kikubwa.JF Bbana....
 
Che Nkapa kapatikana kweli. Huwezi amini na ukali wake wote ule aliokuwa nao, kaaibika na mtoto mdogo kama VN.....

Kweli Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
NB: Tupunguze stress za leo za Mkapa vs Vinsent Nyerere
Heh heh kaka acha uchokozi hapo penye wekundu umenichekesha haswa ,mambo ya mtu mzima kutaka kutaniana na mtoto mdogo wapi na wapi ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom