mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,236
- 954
TISS hawana nembo mkuu....!hata website hawana...
Picha yeyote ya mdada akiwa tupu ni nembo tosha ya Tiss
TISS hawana nembo mkuu....!hata website hawana...
Tiss wanatumia bendera ya taifa kama nembo
Hivi mtoa mada anaitaka ya nini?
Nembo ya TISS itakuwa kama hii hapa wakuu.
ipi Hiyo ?