Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nembo ya taifa inaitabiria CHADEMA ushindi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bujibuji, Sep 1, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 24,634
  Likes Received: 1,033
  Trophy Points: 113
  Nembo ya taifa ina rangi ya vyama vya CCM na Chadema. Ccm imekufa na itazikwa rasmi 2015, na kuanzia hapo ni awamu ya NGUVU YA UMMA PEOPLE'S POWER
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Premises of your argument please?
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 24,634
  Likes Received: 1,033
  Trophy Points: 113
  Www.senteKayumba.com
   
 4. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Endeleeni kujidanganya huku mkitoa watu makafara
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 24,634
  Likes Received: 1,033
  Trophy Points: 113
  Pole najua inakuuma kupoteza imani kwa wananchi,
  ndio matokeo hayo wa kuwakumbatia matajiri wachache na kuwasahau mamilioni ya wanyonge.


  bongo.jpg
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 12,631
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 48
  How much credible is this?
   
 7. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,727
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sidhani kama kuna kafara kubwa inayoweza kulinganisha na kuanguka majukwaani wakati wa kampeni na kuzamisha meli
   
 8. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 38
  .
  Wakuu Father of All & Sangarara Jamani nyie mmeshaambiwa kuwa ni Saint Kayumba?! ... sasa mbona bado mnang'ang'ania kuandika kidhungu?! ... mngemuandikia kwa kiswahili nafikiri angewajibu! ...

  Ha! ha! ha! ... mambo ya Saint Kayumba School!
  .
   
 9. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Mkuu peleka hii habari kule chit chat..
   
Loading...
Similar Threads - Nembo taifa inaitabiria Forum Date
Nembo ya Taifa: Maoni yako Jukwaa la Siasa Jan 6, 2016
Business card yenye nembo ya Taifa na chama kwa pamoja Jukwaa la Siasa Mar 18, 2015
Leo nimeiona nembo ya taifa la Zanzibar Jukwaa la Siasa Oct 30, 2014
Miaka 50 ya Uhuru na Nembo ya Taifa iliyochakachuliwa Jukwaa la Siasa Aug 7, 2011

Share This Page