Nelly, rihanna, 50 cent, Chris Brown....etc, wanabahati sana..

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
45
Kama isingekuwa biashara ya utumwa iliwapeleka America kwa mwonekano wao...
Lil wayne- angekuwa Mmakonde.
50 cent- msukuma.
Chris Brown- Mnyaturu
Birdman- Mmang'ati au Mmasai
Michael Jackson- Mbulu(Mwiraqw)
Rick Ross- Mkurya
Rihanna- Mpare
Nick Minaj- Mhaya
unaweza kumwongeza msanii yeyote wa Marekani unaekifiri anaweza kufananishwa na kabila lolote Tz.....NAWASILISHA.
 
Back
Top Bottom