Shapu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2008
- 2,111
- 790
Hello Wakuu,
Niko kwenye kampeni kubwa ya kutafuta watu serious wasiozidi 10 ambao tutanunua sehemu kubwa ya shamba kama heka 10,then tutalifanyia survey collectively na tutagawana vizuri with titles, na tutalifanyia miundombinu collectively na patakuwa na sehemu mbali mbali kama kiwanja cha basket ball etc etc... tunaweza kulifence collectively, and any other thing collectivelly just to join forces na kuanzisha ka-neighborhood kazuri na kasiko kuwa na gharama kuba individually.
Hii imetokana na nchi yetu kutokuwa na mipango ya aina yeyote kwenye sector ya makazi. Nadhani hili ni wazo langu tayari nina mtu mmoja mwingine ameafiki na yuko tayari amesha nipa more ideas ya jinsi ya ku-go through, tunatarajia kutafuta serious people wengine wasiozidi nane tukae na tupange mikakati. Hili eneo lazima liwe dar, na tunatarajia mchakato mzima kwa kila mtu usizidi milion 10 mpaka all basic structures are in place kwa wastani wa mtu mmoja kuwa na eneo lake la takriban heka 1. Tayari mimi na jamaa yangu tumesha fanya tafiti kidogo ya maeneo fulani ila tunataka tu-join force kwani tukiwa wengi kunakuwa na ubora na gharama kwa mtu indiviadually zinapungua sana.
If interested na una maanisha/serious give me a pm then tutaanza kujadiliana kwa mails nje ya JF then tujue tunaanzaje. Tayari sisi wawili tuna tentative plan ambayo tutaishare kwa wale tu watakao kuwa interested. It is going to be a formal thing with lawyers and other official staff be included. Bahati nzuri nina experience kidogo na issues za ardhi na misuko suko yake hapa bongo so ninajua cha kufanya na sio kwamba nataka kujaribu.
Karibuni tuanzishe makazi ya uhakika.