Neema ya Babu yafikisha AIRTEL Samunge kijijini.....................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
04_11_fzkcuh.jpg
Wakazi wa Kijiji cha Samunge wa kabila la Wasonjo wakifurahia huduma ya mawasiliano ya simu baada ya kampuni ya simu ya Airtel kuzindua mnara wa mawasiliano kwa wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani, Jumanne. (Na Mpigapicha Wetu).



Mchungaji%2BMstaafu%2BMwaisapile%2Bakipokea%2Bzawadi%2Bya%2Bsimu%2Bya%2BMkononi%2Bkutoka%2Bairtel.%2Banayemkabidhi%2Bni%2Bmeneja%2Bwa%2Bbiashara%2Bwa%2BAirtel%2BMkoa%2Bwa%2BArusha%252C%2BPaschal%2BBikomagu.%2BKulia%2BDC%252C%2Bngorongoro.JPG
 
Hivi bila ya Babu hawa AIRTEL ni lini wangelikanyaga kijijini Samunge............................maybe not in my life time................
 
Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile akipokea zawadi ya simu
iliyotolewa na Kampuni ya Simu ya Mikononi ya Airtel hivi karibuni mkoani humo,anayemkabidhi ni Meneja wa Biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha ,Pascal Bikomagu kulia ni DC wa Wilaya ya Ngorongoro Elias akishuhudia tukio hilo. (Picha na Airtel
 
Kwa kupitia Babu kule mambo mengi yatakaa vema, sindio mpango wa
E.L alivyotaka iwe akamwambia Babu huku usihame na wakikuuliza kwa nini waambie hayo ndio maagizo niliyopewa na Mungu Dah!watu nomaa.
 
kweli babu kalamba dume. Ni maeneo mangapi yaliyosahaulika kama huko Samunge ambayo yanahitaji huduma zote za kijamii? Tuendelee kutegemea kuibuka kwa kina babu wengine hadi lini?
 
Back
Top Bottom