need help, am i lesbian?

It seems u have all the time in the world, unawaza ngonongono tu na kujamiiana, haya ndio matunda yake. Hakuna tiba mama pole.
 
HUYU NI MBEA TU.......ANGALIENI NI POST YAKE YA NYUMA ILIYOPITA........AKASEMA SIJUI KAKUTANA NA MZUNGU SIJUI ATAOLEWA KARIBUNI LAKINI MARA YA KWANZA ALISHINDWA KUPANDISHA MZUKA...........LEO ATUMA KIMAZINGIRA MENGINE.......ATUPOTEZEA MUDA TUUU NA ENDE HUKO PUMBAVUU KANIKERA TUU:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Huyu Kiuno naona anataka kutangaza nia ya kuingia kwenye U-lesbian kama imeshaingia kwenye damu yako sisi tutakwambia nini.
Yashinde majaribu:nono:
 
Hata kama bwanako yuko mbali, kwa nini umeanza kutamani wanawake wenzako badala ya wanaume? Ukijua chanzo ni rahisi kuacha kwani utaweza kukwepa vishawishi vinavyozidi kukuongezea mawazo ya namna hiyo.
Otherwise nakushauri uache kuangalia PORN
 
hivi amesema anaangalia eeh?
 
hivi amesema anaangalia eeh?

Hajasema anaangalia PORN, ila yawezekana chanzo cha yeye kutamani kujaribu kufanya na mwanamke mwenzie ni kuangalia porn. Na kwa kuwe anasema mchumba wake yuko mbali, bila shaka upweke upweke ule ndio kabisa unachangia hata atamani kufanya na mwanamke mwenzie!
 
Thread za kutunga bwana hizi zinatupotezea muda kweli yaani. Maana unajipinda kutoa ushauri kumbe mtu mwenyewe wala hauhitaji!!!!!! Yaani watu wengine bwana.
 
naombeni msaada wa kiroho, nahisi kama nimeingiwa na pepo mbaya na sijui nitatoka vp, kwa mujibu wa dini yangu ni kwamba huu mchezo ni mbaya sana.
im about 28 yrs old, nina mchumba ninayempenda sana,ila tunaishi nchi tofauti,kuonana mara moja kwa mwezi au inaweza ifike hata miezi miwili kutokana na majukumu ya kila mmoja wetu.
nina kama mwaka hivi nimeanza kuingiwa na shetani wa u lesbian, nikiona matiti ya mwanamke mwenzangu nalowana huko chini,(especial wale wa kwenye magazeti) natamani kukiss mwanamke, akipita mrembo kajaaliwa kwa kweli nitageuka kumuangalia mpaka najikwaa, sasa hivi nina kama miezi 6 ndoto ninazoota ni kwamba namegana na mwanamke mwenzangu,i feel like i need a soft touch, namkimbiaje huyu shetani? sitaki kutenda hii dhambi ila nadhani uzalendo unakaribia kunishinda toka nianze kuota mara kwa mara.
NB: natamani kishuke kitabu chengine kutoka kwa mungu ambacho kinaruhusu kumegana na mwanamke mwenzako, kwasababu kitu kinachonizuia nisiweze kufanya huu mchezo ni DINI tu na kuogopa wazazi, otherwise mimi ni kwishneihe

Jee umeshapata huyo wa kumsaga? au ndo wewe unataka kusagwa?
 
jisogeze karibu na mungu wako zaidi utaacha ..................kama huna kawaida ya kusoma biblia/qur-an anza sasa kila upatapo muda. Achana na miziki ya kisasa na epuka kuwa katika mazingira yatakayoyapeleka mawazo yako huko kwa wanawake wenzio.
asante gaijin nitajitahidi kadiri ya uwezo wangu ili huyu pepo anitoke.
 
haha...bora wewe umesema.... sasa huyu kiuno huyu.... si ndio aliaanzisha ile thread ya mzungu sijui hajamfanyia nini....
mbona watu hamuelewi, ndio mimi niliyeandika ile ya man ambaye hajasimamisha siku ya kwanza,we are still together, but tunaishi mbali mbali as i said, at the same time naanza kuota hayo madudu ya u lesbian, mbona watu wagumu kuelewa?
mnataka kuniambia mtu akiwa na tatizo moja asiwe na jengine?
 
nina kama mwaka hivi nimeanza kuingiwa na shetani wa u lesbian, nikiona matiti ya mwanamke mwenzangu nalowana huko chini,(especial wale wa kwenye magazeti) natamani kukiss mwanamke, akipita mrembo kajaaliwa kwa kweli nitageuka kumuangalia mpaka najikwaa, sasa hivi nina kama miezi 6 ndoto ninazoota ni kwamba namegana na mwanamke mwenzangu,i feel like i need a soft touch, namkimbiaje huyu shetani? sitaki kutenda hii dhambi ila nadhani uzalendo unakaribia kunishinda toka nianze kuota mara kwa mara.
NB: natamani kishuke kitabu chengine kutoka kwa mungu ambacho kinaruhusu kumegana na mwanamke mwenzako, kwasababu kitu kinachonizuia nisiweze kufanya huu mchezo ni DINI tu na kuogopa wazazi, otherwise mimi ni kwishneihe

Absolutely. Hiyo red inatuambia wewe ni selbo na umeshapractice .
 
Si afadhali wewe bado unawaza tu,mi mwezi ulopita niliingia kwenye uhusiano na mwanamke mwenzangu baada ya kuwa na hisia hizo kwa muda mrefu.Ktu kilicho nichanganya zaidi nilikuwa kwenye ndoa ambayo iliyumba baada ya tukio hili lakini mume alikua muelewa na kunipa muda wa kuamua kama nataka ndoa au kuendelea na usagaji.Niliwaza sana na kuamua jamii na wazazi wangu hawatanielewa,nimeacha usagaji na kuwa karibu zaidi na mume wangu.Kutokua karibu na mwenza wako kunaweza kuchangia hisia hizi hamia kwake au aje kwako.
 
Hah nilitaka kushangaa kwani ni hivi karibuni ulitangaza kuwa tayari umeolewa na jamaa anakufikisha hadi mwisho wa reli,muhimu umepata uzoefu sasa umeamua uchague pumba au mchele
 
hicho ni kifungo cha kisaikolojia anachotaka kukufunga nacho lucifer,hakuna kitabu kitakachoshuka tena kuruhusu hilo,ila kinachoweza kushushwa kwako ni funguo zitakazokuweka huru iwapo utajipa mamlaka ya kukemea roho hiyo ukitumia jina la YESU,jina lenye nguvu ya kuteketeza kila aina ya roho ya kuzimu.ukizubaa shetani atachukua ushindi hivyo nakusihi usimame imara kupigania ukombozi wako kwani ukishindwa hutaingia ktk ufalme aliotuandalia mwokozi wetu.lav u.
 
Back
Top Bottom