need help, am i lesbian?

kiuno

Member
Jun 6, 2010
49
2
naombeni msaada wa kiroho, nahisi kama nimeingiwa na pepo mbaya na sijui nitatoka vp, kwa mujibu wa dini yangu ni kwamba huu mchezo ni mbaya sana.
im about 28 yrs old, nina mchumba ninayempenda sana,ila tunaishi nchi tofauti,kuonana mara moja kwa mwezi au inaweza ifike hata miezi miwili kutokana na majukumu ya kila mmoja wetu.
nina kama mwaka hivi nimeanza kuingiwa na shetani wa u lesbian, nikiona matiti ya mwanamke mwenzangu nalowana huko chini,(especial wale wa kwenye magazeti) natamani kukiss mwanamke, akipita mrembo kajaaliwa kwa kweli nitageuka kumuangalia mpaka najikwaa, sasa hivi nina kama miezi 6 ndoto ninazoota ni kwamba namegana na mwanamke mwenzangu,i feel like i need a soft touch, namkimbiaje huyu shetani? sitaki kutenda hii dhambi ila nadhani uzalendo unakaribia kunishinda toka nianze kuota mara kwa mara.
NB: natamani kishuke kitabu chengine kutoka kwa mungu ambacho kinaruhusu kumegana na mwanamke mwenzako, kwasababu kitu kinachonizuia nisiweze kufanya huu mchezo ni DINI tu na kuogopa wazazi, otherwise mimi ni kwishneihe
 
lORD FORBID THIS! NI MAWAZO YAKO TU NA UTAKAPOAMUA KUACHA KUYAWAZA HAYO UTAACHA! KAMA UNA MPENZI ULIANZAJE KUWAZA HAYO NN KILITOKEA?
 
Njoo kwangu.
Niliandika juzi hapa kuwa nikitoa dozi hutotaka kuniacha.
Niko hapa Tanzania, Dar es Salaam .
Njoo upate sukari guru ufurahie usichana wako, achana na mambo ya kisagaji hayo
 
kwa hiyo unaomba msaada wa "KUSHUSHIWA KITABU KINGINE CHA DINI KINACHORUHUSU -USAGAJI" au unaomba "MSAADA WA KUKUPATIA MWANAMKE MWENZIO MSAGANE" au unaomba msaada "UBADILI AU UACHE IMANI ZA DINI YAKO ILI UENDELEE NA USAGANAJI" jitahidi kuwa specific katika unachoomba msaada maana umekiri kuwa "wewe ni kwishnei" katika usagaji ujanja huna na huna nia ya kuacha
 
kiuno
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Member Join Date Sun Jun 2010
Napata shaka..............................Sio Bwabwa kabadiri ID?
 
dunia cjui ianenda wapi jamani, sasa unataka usaidiwe then unatamani tena maandiko yabadilishwe ili uweze kutimiza lengo lako, Jesus rudi bac jamani.
 
uyo atakuwa tayari ameshado ze nidiful hapa anataka atusikie misimamo yetu tu.,....:tape:
 
Kwa hisani ya watu wa marekani we fanya tu ila ukiona dhamira inauma bora ujilengeshe kwa mwanaume yoyote maana hutaumia sana.
 
kama hujawahi kufanya utaotaje unammega demu mwenzio, umejuaje kumega kwenye ndoto kama kwa kawaida hujuhi, hizo ni shida za kuangalia movie za ngono na kujichua kila wakati, hakuna msaada unaoutaka hapa zaidi ya kuwajaribu watu tu

KUNA DADA ANAITWA DIANA DOUBLE DIFF, hebu mtafute huyo mnaweza kuelewana
 
Hivi huyu mtu alishaamua kuwa lesbian eeh?? au iliishaje ile sredi yake.
 
uyo atakuwa tayari ameshado ze nidiful hapa anataka atusikie misimamo yetu tu.,....:tape:

kuna vitu vinachefua roho sana jamani, mie cjui wanawezaje? khaa cwez ku imagine...haya mapepo kabisa.
 
jisogeze karibu na mungu wako zaidi utaacha ..................kama huna kawaida ya kusoma biblia/qur-an anza sasa kila upatapo muda. Achana na miziki ya kisasa na epuka kuwa katika mazingira yatakayoyapeleka mawazo yako huko kwa wanawake wenzio.
 
Back
Top Bottom