Need Advise with issue of WOMEN !!

Turabiturabi

Member
Jun 15, 2010
25
1
Habari mazee wngu !

Naomba ushauri yenu.... I need a woman for fun and friendship. am funny guy with slim body etc etc... but I dunno how to find a good lady to take her out as am very busy with work etc, and hardly get time to chill out with friends and make relations ....
maybe I can find someone online or something ?

:( any piece of advise or if any connection :p ?
 
hapo nilipo underline unadhani sifa hizo zinatosha?nadhani ungejieleza kidogo......your age,dislikes,likes watu wapweke wanaweza kujitokeza!mungu atakusaidia mwe!
 
Advice yako NN imeassume kuwa yuko majuu.......mambo ya craigslist nk..... kama yuko kinondoni????? :confused2::confused2:
 
Advice yako NN imeassume kuwa yuko majuu.......mambo ya craigslist nk..... kama yuko kinondoni????? :confused2::confused2:

JF ni kama soko la mawazo, ujuzi, ufahamu, n.k. Kwa hiyo basi mimi nimechangia kwa kadiri ya ufahamu wangu. Vivyo hivyo nategemea wengine kuchangia kwa kadiri ya ufahamu wao.

Kwa hiyo kama kuna ambao wako bongo, Kenya, na kwingineko nao natumaini watatoa michango yao na mwisho wa siku mheshimiwa aliyeomba msaada ataamua ni msaada upi unamfaa kulingana na sehemu aliyopo maana hata yeye mwenyewe hajasema yupo wapi.

Au wewe unaonaje?
 
wasema uko busy huna muda wa ku-chill.. afu unaomba msaada... kwa hiyo unataka membaz humu wakusaidie KUKUWADIA...!!:mad2:
 
Back
Top Bottom