Need a girl friend

mmhhh
kwa kweli
my dear all the best wengi humu ni ma
bibi na babu
baba na mama
na hiyo miaka my dear duuhh ..
halafu unene kwetu sifa my dear ..
kwenye maumbo huko siingi..

ila nisikukatishe tamaa mpendwa..
kama babu anavyosemaga kizazi cha dot com..

kama wapo watajitokeza tu dear all the best..
 
hehehheeh mie nna miaka 15 tuu ntafaa jamani...??????na bado nasoma wewe jee si pia wasoma??:A S 13::A S 13::A S 13:
 
bwana usiseme si halafu tutanunuliwa woote pringoz na cake....,, halaf na yeye bado asoma atatupa na book zake,,,usiseme eee???

Mie nahisi ni fataki huyu ataka haribu watoto kama sie!! tusicheze nae si unakumbua tulikatazwaaa
 
nina swali, kwanini user name mpya zinakimbilia kutafuta wachumba? Au kwa kutojiamini, mtu anashindwa kutumia user name yake halisi na anaamua kucreate nyengine? Au ni vipi hasa?
 
Hili jukwaa la kutafuta wachumba sijui litaanza lini yaratibi toba. Maana kama Mkwaruzo alivyosema New ID na kutafuta wachumba tuuuuuuuuuuuu its boring now wajameni aakkkhhh
 
Hili jukwaa la kutafuta wachumba sijui litaanza lini yaratibi toba. Maana kama Mkwaruzo alivyosema New ID na kutafuta wachumba tuuuuuuuuuuuu its boring now wajameni aakkkhhh

DN umeonaeee kama iko board...
 
mmhhh
kwa kweli
my dear all the best wengi humu ni ma
bibi na babu
baba na mama
na hiyo miaka my dear duuhh ..
halafu unene kwetu sifa my dear ..
kwenye maumbo huko siingi..

ila nisikukatishe tamaa mpendwa..
kama babu anavyosemaga kizazi cha dot com..

kama wapo watajitokeza tu dear all the best..

Mchumba AD,

Umepotea sana bana! mpaka na mimi nataka kuanza kutafuta mchumba!
 
Hi wana jamii forums mi natafuta girlfriend wa kuwa nae. sifa, awe na umri usiozidi miaka 21 asiwe mnene sana pia awe na umbo zuri.<br />
sifa zangu,sio mrefu sana au mfupi yaani saizi ya kati,21 miaka,sio mnene.
Mimi sitaki kukukatisha tamaa ila Kwa ushauri wangu ungeanzia kitabu sura!a.k.a. Facebook utapata hata wachini ya hapo lakini JF uangalie unaweza ukapoteza mda mwingi na pm zakutosha kumbe DUME LENZIO huku full usanii.
&lt;br /&gt;
 
Hili jukwaa la kutafuta wachumba sijui litaanza lini yaratibi toba. Maana kama Mkwaruzo alivyosema New ID na kutafuta wachumba tuuuuuuuuuuuu its boring now wajameni aakkkhhh

aaargh!its real boring kwa kweli,teeneger wamekuwa wengi hakuna tena cha maana mmu zaidi ya uchumba,nakupenda,nakuhitaji,nakumiss..................
 
nina swali, kwanini user name mpya zinakimbilia kutafuta wachumba? Au kwa kutojiamini, mtu anashindwa kutumia user name yake halisi na anaamua kucreate nyengine? Au ni vipi hasa?
kama ni members wa zamani bora watumie ID zao za zamani maana humu watu tushawasoma tabia kwa kiasi fulani. Inaweza ikawa rahisi kwao kupata mchumba.
 
Hi wana jamii forums mi natafuta girlfriend wa kuwa nae. sifa, awe na umri usiozidi miaka 21 asiwe mnene sana pia awe na umbo zuri.
sifa zangu,sio mrefu sana au mfupi yaani saizi ya kati,21 miaka,sio mnene.

Hahisi umekosea forum Kaka hapa ni kwa ajili ya Great Thinkrs
 
Back
Top Bottom