Need a girl friend

tafuta anaeweza kukufaa na kukufahamu na kufahamumazingira yako hapo kama unataka kumuowa awe aiana yeyote mwarabu mhindi mswahili na wengineo desnt matter kama unataka kuowa au sivyo ombi lako halina maana wala mpango
 
kabla watu hatuja anza kutuma maombi naomba nawe ujitamburishe ya kuwa hizo sifa ulizoziandika nawewe unazo! au ni ubaguzi wa rangi ndo unajiintroduce!. mie ningependelea ungeandika pale kwenye topic ungeandika hivi `I need a girlfriend mwenye asili ya kihindi au....................... (rangi ambazo unazihitaji).

hivi ulivyoandika utawapotezea muda watu ambao hawana sifa ya kuwa girl friend zako. ukitaka kujuwa uchungu wa kupotezewa muda wakati huhitajiki muulize samweli sitta alijisikiaje pale alipoambiwa awamu hii uspika ni zamu ya mwanamke!.

umenifurahisha nimekupa TANO!
 
hellow...
Nina umri wa miaka 31 naishi rocky city (mwanza),nahitaji girl friend wa kiarabu au kihindi ambaye anaishi tanzania,umri 20-30. Ambaye yuko tayari na serious tuwasiliane 0777 227972. Text sms zitajibiwa pia.
Karibu...

umejoing leo jf hapahapo wataka kupata demu wa kihindi na kiarabu........ Hao hawawezi kuchunga ngombe,....... We umesikia watoto weupe wanapewa ngombe nyingi kama mahari nahisi ngombe zimekuzidi bahata mbaya kwa wahindi na waarabu hakuna mahari ya ngombe we tafuta msukuma mwenzio huko huko ukerewe, kwimba, nyamagana ilemela kirumba utapata mwanaone
 
Hellow...
Nina umri wa miaka 31 naishi rocky city (Mwanza),Nahitaji girl friend wa Kiarabu au kihindi ambaye anaishi Tanzania,umri 20-30. Ambaye yuko tayari na serious tuwasiliane 0777 227972. Text sms zitajibiwa pia.
Karibu...

wakiswahili wamekushinda nini?
 
Hellow...
Nina umri wa miaka 31 naishi rocky city (Mwanza),Nahitaji girl friend wa Kiarabu au kihindi ambaye anaishi Tanzania,umri 20-30. Ambaye yuko tayari na serious tuwasiliane 0777 227972. Text sms zitajibiwa pia.
Karibu...

ehh, utasababisha watu wakajiharibu na machemicals si unajua siku izi ni kuchakachua tuu?
 
kabla watu hatuja anza kutuma maombi naomba nawe ujitamburishe ya kuwa hizo sifa ulizoziandika nawewe unazo! au ni ubaguzi wa rangi ndo unajiintroduce!. mie ningependelea ungeandika pale kwenye topic ungeandika hivi `I need a girlfriend mwenye asili ya kihindi au....................... (rangi ambazo unazihitaji).

hivi ulivyoandika utawapotezea muda watu ambao hawana sifa ya kuwa girl friend zako. ukitaka kujuwa uchungu wa kupotezewa muda wakati huhitajiki muulize samweli sitta alijisikiaje pale alipoambiwa awamu hii uspika ni zamu ya mwanamke!.

Katika kuchagua sio ubaguzi kila mtu ana haki ya kuchagua amtake awe mweusi mweupe,kila tmu ana choice,wengine wanataka wachanganye blood,wengine wanataka blood iyendelezwe kwa mfano mweusi mumuowa mweusi,mweupe kwa mweupe, hebu rudini mashuleni jamani,hapo hakuna ubaguzi,mbaguzi ni yule ambaye anambagua mwenziwe.
 
Alafu huwa sipendi mtu unaanzisha thread alafu hujibu..

N.B nadhani humu ndani hamna hao watu kabisa,so umeingia wrong way....zaidi pia ni ubaguzi huo umefanya sasa kama unataka hao na hawa dada zetu nani atawachukua???
 
hiz zote ni impact za wale wanao miliki mademu wa
wili wawili ndiyo maana wingine wana misssssssssssss>>>>>>>>>>>>>>>>.
 
Hi wana jamii forums mi natafuta girlfriend wa kuwa nae. sifa, awe na umri usiozidi miaka 21 asiwe mnene sana pia awe na umbo zuri.
sifa zangu,sio mrefu sana au mfupi yaani saizi ya kati,21 miaka,sio mnene.
 
Back
Top Bottom