Necta std 7 exam results for 2011

Jamna

Member
Jan 22, 2012
14
1
Hi guys, I m new here n wish u all Jamaa a Prosperous New Year. What is website to download Necta std7 results for 2011? My daughter's primary headmaster anaona uchungu kutoa matokeo kwa sababu amejiunga na Shabaan R Second, na wenzie wata3
 
Pole sana Guy! Sina uhakika kama Website ya Necta.go.tz wanaweka matokeo ya darasa la saba. Nakushauri uende ofisi za Elimu za Halmashauri au Mkoa ambapo shule hiyo ipo. Huyo Headmaster anataka binti yako umpeleke wapi!
 
Hi guys, I m new here n wish u all Jamaa a Prosperous New Year. What is website to download Necta std7 results for 2011? My daughter's primary headmaster anaona uchungu kutoa matokeo kwa sababu amejiunga na Shabaan R Second, na wenzie wata3

mwambie akayafuate yeye mwenyewe..
 
Hawa watoto wanne, walikuwa "cream of ther class". Na HM anataka waendelee kwenye shule yake ambayo ina stream 1 tu( watoto 16). Shabaan ina stream 5! Bonge ya competetion! Hata school leaving certificate amekataa kutoa!
 
Hata School Leaving Certificate anakataa kutoa! Two choices for me, 1) fight with the sword, OR 2) with the pen. Do u guys think I should write a letter to Ilala DEO with copy to Wazari wa Elimu, making a formal complaint? Plz advise
 
Back
Top Bottom